Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.

Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha mtoto wao. Sijui ni kwanini hisia zinawapeleka huko ila kwa kifupi hili jambo litachukua muda sana kuondoka akilini mwao.

Mwananzengo 1 akasema akiona 1 kati ya watajwa basi anamkumbuka mwanaye. CCM angalieni hili, ikiwa mnadhani halina uzito liacheni, ila binafsi naona 2025...
Usichokijua nikwamba CCM ili wawepo madarakani hawategemei kura ..... weka hiyo akilini ..... hizo kampeni ni danganya toto
 
Wezi wale? Alietutisha ni JPM tu sio hao kenge.
Kumbe huna unalolielewa, rudi kwenu ukale shawarama ujambe ulale.

Hiyo combination ilifanya kazi kabla ya Magufuli kuchaguliwa kwa mara ya kwanza, bila hao Magufuli asingeinusa Ikulu.
 
Back
Top Bottom