Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Naam,

Mbunge wa Mtama kupitia CCM ndugu Nape Nnauye leo kakutana na Raisi Magufuli Ikulu kujadiliana masuala ya kitaifa.
View attachment 1203550View attachment 1203551
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari. Hii ni baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.

Zaidi, soma;
Hili laweza kufanyika hivi lakini moyoni kila mtu kati yao analo lake jambo, either mtu anakwepa kusulubiwa au anaomba yaishe maisha yaende, ila kunaweza kukawa na timing maana adui huwa hataki ujue kuwa ni adui wako. Swali la kufikirisha: Je JIWE ASINGEDUKUA SAUTI HALI ILIKUWEJE HUKO MBELENI? KWA MAANA NYINGINE JIWE ASINGEJUA ANAVYOSEMWA, HAO NDIO WALIO DUKULIWA SAUTI NA JE, WENGINE AMBAO HAWAJAONGEA WANAYAPI MOYONI MWAO.
 
Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.
Yani vijana wa chadema akiliza kama za bata sasa wanampenda Tundu lissu wasije wakashangaa siku moja wanamuona ikulu na magufur wapinzan wa Tanzania wengi ni waigizaji wanaigiza Siasa.
 
Naona taasisi ya uraisinashuahwa hashi, hii haikupaswa kuongelewa na rais kwa public
 
Swali fikirishi je baba huwa hawakosei watoto wake? je kuna wababa huomba msamaha kwa watoto wao ''when it comes to customer caring rule number one says a customer is always right. rule number two says some times a customer is wrong and that if a customer is wrong you have to refer to number one
 
Back
Top Bottom