Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,726
Picha za zamani hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha za zamani hizi
Na kweli atuwekee mavitu nime ya miss. hahahahahaMzee baba siasa hailipi . Unakosekana sana kule mzee 🤣🤣🤣🤣🤣
Wote hao manafiki....wanategeana tuKatika kinachoonekana ni kuipigia salute njaa baada ya kusota mitaani bila kazi ya kumfanya atembelee magari ya kifahari .
Nape ameanua kujisalimisha rasmi kwa yule anaye toa ridhiki yaani rais Magufuri na kuomba msamaha .Amakweli hakuna mwenye jeuri juu ya njaa.View attachment 1203613
Ivi unaijua nguvu ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama unaweza kupimana nae ubavu kwel?Wanasiasa sio watu wa kuwaamini, alivyokua anaongea vile kwenye simu sijategemea kumuona akiomba msamaha
Hata Mimi sijaelewa, yani kuna vitu hata ktk akiri Ya kawaida tu haviiingiii kichwani, mmmmmmmh Mimi nitashuhudia mambo mengi Sana ambayo sijawahi kuyaona au kuyafikiria kuwa yanaweza kutokea duuuh ,Sijaelewa kinachoendelea ndani ya jahazi ila tunaweza kusema ni taarifa kwa wale wanaodhani jahazi linaingia maji na linaweza kuzama ilihali maji yanaingia na kutolewa.
Kwa lugha yetu wakongwe huwa tunasema (mtoto kashika adabu) maana mmoja mmoja anaenda nyumbani na kukiri.
Ila kwa muktadha huu wa kupigwa masnap kutokea juu tena popote unapotokea huku jasho likimwagika sijaelewa mantiki yake!!.
View attachment 1203594
View attachment 1203595
View attachment 1203598
View attachment 1203599
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime
Wakipatana beba kikapu ukavune
"Nilikuja kumuona kama Baba yangu, Rais wangu, kwasababu wote mnajua yametokea mambo mengi hapa katikati na mimi kama Mtoto wa CCM, kama Mwanae nilisema nadhani ni vizuri nije niongee na Baba yangu, na ameniambia kwamba amenisamehe na amenipa ushauri, namshukuru sana" - NAPEHa ha had
Mwe.hu wewe, nape ndo mpiga kura pekee kusini? kama kuna jambo litanifanya nisimwelewe JPM ni kuwashirikisha hao wapuuzi kwenye siasa za CCM tena, kusamehewa na JPM as a person ni jambo moja, kusamehewa kwa kukiuka kanuni na taratibu za chama na kusamehewa na chama ni swala jingine.Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini.