Kabla ya uchaguzi 2020 tutaona mengi.
Huyu nahisi kalazimishwa. Aombe msamaha au akipate cha moto.
Usiombe ukosane na mungu wao Hakuna rangi utoona.Sumaye akipiga magoti atarudishiwa Mashamba na Viwanja vyote u
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya uchaguzi 2020 tutaona mengi.
Huyu nahisi kalazimishwa. Aombe msamaha au akipate cha moto.
Kama magu anamhitaji nape, magu ndie angemiomba msamaha nape , acha urongo, msg saa nane usiku ? Halafu uje utuongopee hapa.Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini.
Tabia za kishamba hizo.unataka uabudiwe wewe mungu? Kwahiyo asipoabudiwa ndo atafanyaje sasa.Akuna mtu asiyependa kuabudiwa shetani mwenyewe anapenda sembuse sisi binadam wakawaida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari. Hii ni baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.
Pia soma;
Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM
Ni kuhusu barua iliyotolewa na Makamba na Kinana kuhusu kuchafuliwa na Musiba. Ni Maelekezo ya Kinana Kumtaka Nape aisambaza barua kwenye vyombo vya habari. Kinana: Mwambie bwana hawa jamaa wanatoa statement leo, Unafikiri tumpe nakala? [Nape: Hapana] Mwambie wanaiandaa Mzee wataitoa leo...www.jamiiforums.com
Sio wote wanaoweza kuisoma Namba brooo wengne hata neno chama cha siasa hatujui, tunakula na kuishi kwa kumtumikia MUNGU na kutumia nguvu zetu, wanaosoma Namba ninyie mnaohangaika kwenye siasa na ninachoamini hata wewe utakuwa umetoka kuisoma Namba ndio maaana unahangaika na hayo maneno baada Ya muda wako kufika na kutokana na mchezo wa siasa kuna kipindi pia utageuka utaisoma Namba hilo halikwepeki ndio Maaana Mimi Sitaki hata Mtoto wangu ahusike kwenye siasaMmepanic nyie hamkutegemea acha muisome namba sasa
Hamna kitu ndugu, ukomavu angeuonyesha kwa waliomfikisha hapo alipo.Siasa ni ngumu sana, hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu katika uwanja wa siasa, ngoja tuone busara ya Membe na comrade kinana katika hili pia, kubwa zaidi Rais kaonyesha ukomavu wa kisiasa na kiimani.
Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa na kupatana vema.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari. Hii ni baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.
Pia soma;
Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM
Ni kuhusu barua iliyotolewa na Makamba na Kinana kuhusu kuchafuliwa na Musiba. Ni Maelekezo ya Kinana Kumtaka Nape aisambaza barua kwenye vyombo vya habari. Kinana: Mwambie bwana hawa jamaa wanatoa statement leo, Unafikiri tumpe nakala? [Nape: Hapana] Mwambie wanaiandaa Mzee wataitoa leo...www.jamiiforums.com