GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimeona Nape anatembea umbali mrefu sana ndani ya maeneo ya Ikulu.
Alishushiwa nje ya geti kuu la kuingia ikulu ?
Niliona mpaka anajifuta jasho kwa kutembea umbali mrefu.
Nimeona kama ametembea umbali mrefu sana.
Haaminiki ?
View attachment 1203928
Nadhani hiyo ilikuwa adhabu ama kumdhalilisha, kwani kuondoka gari lake lilikuja mlangoni.Nimeona Nape anatembea umbali mrefu sana ndani ya maeneo ya Ikulu.
Alishushiwa nje ya geti kuu la kuingia ikulu ?
Niliona mpaka anajifuta jasho kwa kutembea umbali mrefu.
Nimeona kama ametembea umbali mrefu sana.
Haaminiki ?View attachment 1203928
Kutokana na 'msamaha' pamoja na ushauri aliopewa, ni dhahiri kuwa hatatetea tens wakulima wake wa korosho.Wanaume wa Dar hawa hata misimamo hawana.
Msimamo tu huna utaweza kusimamisha?
Malipo hapahapa duniani analipia bao la mkono alilowafunga watanzania kwa tiktaka.*Nape Amerudi Kwenye* *Reli Sasa* .
Nijambo amabalo wana CCM wengi hawajalifurahia kuona *Nape Moses Nauye* Mbegu iliyo Kufa na kuoza sasa imeanza kuchipua.
Kifo chake kilisababishwa na kusema ukweli palipohitajika kusema ukweli wakati sio utamaduni wa chama cha *CCM* kusema ukweli kwa wanachama wa kawaida kazi yao ni kuisifu serikali na kukisifia chama tu.
Nape ameomba kwa kuikosoa serikali iliposhindwa kununua korosho. *Nape* kaomba msamaha kwa kushinikiza uchunguzi wa Makonda kuvamia kituo redio cha *Clouds* .
*Nape* kaomba msamaha kwa sauti iliyotengenezwa na *Makonda* kuwa naongea na Membe anamuita Mheshimiwa Rais Mshamba.
*Nape* anameomba msamaha kwakuwa alipotolewa bastola na MTU asiejulikana alisema hadharani kwamba aliipigania CCM ili ishinde mwaka 2015 .
Nape kaomba msamaha kwakuwa huonekana yupo karibu na Zito Kabwe na *Membe* hasa kwenye Picha.
Hivyo ndivo vilivyo muuwa Nape.
Mbegu inachupua sasa
Msamaha wa kinafiki wa *Nape* ni kuionyesha dunia kuwa ukisema ukweli *CCM* nikosa sasa ameomba msamaha kwa kuusimamia ukweli.Yeye na Rais wamemaliza kwakuwa Rais *Magufuli* sio MTU wa visasi na anafahamu kabisa *Nape* hajafanya kosa lolote na hajawahi kumkosea na kisiasa hawezi kupambana na hawa vijana ambao wao kesho yao inaweza kuwa nikubwa kuliko yake ya Leo ya kisiasa,ieleweke kuwa Rais amebakiza Miaka Sita yakuongoza kama atashinda 2020 *Nape* au *Makamba* , *Mwigulu* vijana hawa bado wao wana miaka 10 yakuja kuongoza nchi wakijaaliwa kupata Urais.
*Msamaha wa Nape* umemrudishia heshima yake ndani ya CCM ambayo wengi walitamani apotee wakiamini kupotea kwa Nape na Kina *Kinana* ndo kuipoteza CCM ya Zamani.
Wana *CCM* Siku zote huwa wanaombeana Mabaya wakiamini wenye vyeo hawastahili Siku wakitumbuliwa waio na vyeo na wao watapata nafasi na wenye vyeo wanawatumia wasio na *vyeo kama jukwaa la wao kuimbiwa nyimbo za sifa kusifiwa hata wanapo boronga.*
*Namuona *Nape* kesho* Akiwa kiongozi mkubwa mwenye ushawishi ndani ya chama na serikali maana anajua kusifia zaidi kuliko kukosoa sasa baada ya msamaha ni kusifia kwa kwenda mbele nani atamzuia tena. Mbegu itamea 2025 *Nape* hata kuwa Mbegu tena Atakua ni Mti kamili wenye Matunda.
*Hongera Nape umefanya* *maamuzi sahihi* kwa umri ulio nao haijalishi utaanguka Mara ngapi nilazima uamke maana nguvu na sababu unazo.
*Na
MwanafalsafaMweusi* .
*Nape Amerudi Kwenye* *Reli Sasa* .

Both had fake smiles! Aliyeomba msamaha hakumaanisha na aliyesamehe pia hakumaanisha. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
Wanafikiri Urais ni kama kazi yaU djJuzi nilicomment kwenye Uzi flani nikawaambia Rais ana mamlaka makubwa na hilo liko wazi, wengi mliwananga akina ngeleja kuomba msamaha Leo nape kwenda wazi wazi, nawambia tena Rais ana mamlaka makubwa kumtukana na kumsengenya ni kosa kubwa sn
Dah....Kuna vilaza humu hawatakuelewa[emoji2960]Hakuna cha well organized wala nini kwa mwanasiasa yeyote ambaye anategemea siasa Kama ajira lazima atafanya alichofanya nappe
Issue ya wana CCM waomba 'msamaha' 1 yr kabla ya uchaguzi inafikirisha sana.....
Mtu akifikiria kujiajiri anapoteza usingizi saa 8 usiku.. duh
Waanzilishi wa cdm, walitokea ccm , kama ulikua hujui.Katafute siku niliunga mkono hao wahuni kupokelewa na cdm kuanzia Lowasa mpaka kundi lake.
Mtaoamba sana ila kaenda kuomba msama, wala hahitajiki ila kae da kujibembeleza, hawa hawaaaminiki tena, wameshaanza kutika mmojammoja mafichoni bado eangapi sijui, acha jiwr awanyorisheMagu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
C'est vrai madameHapana chezea. Bila siasa Nape hawezi kuishi. Maana ni kilaza. Hakuna sehemu anaweza ajiriwa.
Hivi kumshabikia dj na meshen town ndio kua na akili? Bavicha bana!Wewe ndiyo atakaye tuma kama choo kwa buku saba.majority wa supporter wa opposition angalau wana life lakini % kubwa ya washsbiki wa Magu hawajielewi isipokuwa wale wachache sana wanaonufaika
Dj ndio anaaminika? Kwa lipi?Magu sio wa kumuamini.