Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Ule mpangilio Kwenye gazeti la mwananchi ulikuwa mzuri alinza January , ngereja, nape, atafuata makamba sr atamaliza kinana wanafiki wote lazima watubu na kusamehe ndio uhodari wa kiongozi shupavu kama Baba Magufuli , Viva CCM ,VIVA Magufuli
 
Cha ajabu hapo ni nini? Muhimu si ameomba Msamaha na amesamehewa hivyo anarudi Kundini rasmi? Unamshangaa Nape Kutembea Ikulu mbona hukumshangaa Rais wa Shelisheli ambaye aliamua Kuzurura Posta nzima hadi karibia na Mnazi Mmoja tena kwa Miguu tu wakati wa Mkutano wa SADC uliomalizika Siku si nyingi hapa nchini Tanzania? Waswahili bhana!
Mwanadamu akikuinua atakushusha tuu[emoji23][emoji23][emoji23] Ile ni kumdhalilisha kijana na kumuonesha kuwa Yajayo yanafurahishaa..
 
Hapo wamabaki MAKONKI tu.

Ila hapo MAKAMBA SNR simuamini sana ila KINANA na MEMBE hao sidhani kama wataomba msamaha.
 
Ngumu sana kupambana na Rais,ambae pia ni.mwenyekiti wako
Nakumbuka kubenea na komu walitoa machozi na kupiga magoti kama watoto kwa mbowe kwenye kikao cha kamati kuu
 
Dah hili jimbo la mtama lilikua wazi lakini naona kuna mgombea anasawazisha makosa dk za lala salama ..... Sio mbaya vijana mlioweka nia kugombea jimbo lililokuwa wazi la mtama msivunjike moyo jaribun tu bahati yenu hivo hivo. Pia vijana kama hamjifunzi jambo kutoka kwa uongozi bora wa Mh rais basi mtakua na matatizo makubwa sana kwenye vichwa vyenu. Hivi ndivyo baba anatakiwa kuwa. Ukisikia ukubwa jalala basi ndio hivi.
 
Back
Top Bottom