Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

hahaa, Magufuli kasema Nape alimtafuta sana, alimtumia watu kibao kuanzia akina Mangula hadi mke wa Nyerere, kutuma msg usiku wa saa nane ila akawa kimya tu
Kajamaa kanajifanya kajuaji sana, mwish0 wake ndi0 hu0!!!
 
Kama anajua kweli alikosea na akaamua kwenda kuomba msamaha ni jambo jema sana na huo ndo ubinadamu. Ya wanasiasa waachieni wanasiasa wenyewe.
 

Ngeleja, January, Babaake na akina nanihii lini nao wanazuka Ikulu kumuomba samahani bugiri? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Comrade hasikiki kabisa mmh CCM yajayo yanafurahisha
 
Reactions: BAK
Mnapafahamu ikulu? Mnadhani ni kama makwenu kwamba wewe unaamua mgeni aje mpaka popote? Mlishawahi kuingia nyinyi mkaenda na magari? Au ndo zile za kwenu ni kusupport tuuu hata upuuzi.
Kuna sehemu kubwa ya kuweka magari, na sio mwendo hata wa dakika tano. Wewe ndiye hujafika na hupajui. La pili kwa nini yale matembezi yote yawekwe kwenye video, inamaanisha nini.

Jee ulishawahi kuona video ya watu kutembea hivyo kuwekwa wazi na ikulu?
 
Asema tu kuwa wote wenye maslahi ndani ya ccm hawawezi kuendesha maisha bila ccm. Ndo maana wazee wazima wanaambiwa wanawashwawashwa wanakenua meno tu...hukuona MZEE mwinyi alivyong'aka baada ya marope kutumia picha wakiwa pamoja???
 
Baada ya lile sakata la nape na makonda. Nape ghafla akaanza kuonekana shujaa na anafaa hata kugombea urais.nyuzi nyingi zilianzishwa kuonesha ushujaa wake na umuhimu wake ndani ya CCM.

nliwahi sema nape ni mpuuzi opportunist kama wengine.hajawahi kuwa shujaa na asingeanza muda huo kuwa shujaa.ni mwendelezo wake wa siasa za chuki,utoto na kutumika.

Akaja membe kuonekana kuwa ni shujaa na anafaa kugombea urais.nikasema membe huyu huyu ninayemfahamu mimi?kilaza asiyejifahamu.akapambwa kwa nyimbo za sifa na mapambio.

Shushushu wa mkubwa anakuja kudukuliwa kizembe anaongelea mambo ya mwenyekiti wake kwenye simu kama kilaza mmoja wa huko samvula chole,mbwinde au kazamgongo asiye na ABC za ushushushu.

Akaja makamba kuonekana shujaa na smart baada ya yeye kuanza harakati zake mitandaoni na siasa za kipwani.za mipasho n.k alipotumbuliwa kama jipu umaarufu wake ukazidi.

Makamba january akakumbuka kurudi kuomba radhi kwa machozi na manung'uniko kuwa alikuwa anahadaiwa tu. Karejeshwa ushujaa wake siusikii tena.

Nape naye kaenda omba msamaha...hawa wote sijajua makosa yao...kama january.amebaki membe,kinana na makamba mzee.je katika hawa who is next?

Chadema watamuunga mkono nani?maana ni wazi sasa wanaachwa ukiwa na mashujaa njaa wao.ni bora kunyamaza au kuunga mkono juhudi.
 
Tengeneza tatizo, tatua tatizo then pata ujiko...
 

Waliweka video ili kuuonyesha umma kwamba Nape hana special treatment yoyote hapo ikulu ni boya tu na tumemtembeza kwa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…