Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

 
Hii drama inahitaji ujitoe ufahamu kweli kweli! Hivi ukiambiwa mshamba kwa mfano, then ukaambiwa sorry! Inanaana unakuwa sio mshamba tena!
 
Hizi sifa zinamlingania sana Mwenyekiti wa chadema!
 
Chifu mwombe msamaha mkuu wa nchi kwa kumwita mnafiki kwa sababu naye ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine. Hii ni kumteta Rais vibaya kama walivyofanya akina Nape.
Dr Magufuli siyo mwanasiasa ni " Mtumishi" wa umma.......wapendwa wananielewa hapa!
 
Lisu... mikataba mibovu ya madini tunaibiwa
Magu kazuia makontena..
Lissu... Magu amefanya maamuzi ya kijinga kabisa wazungu watatushitaki Miga.
Yah Lissu ana misimamo sana...
Mbowe, amesimamia analoliamini. Lisu pamoja na kupigwa risasi na aliyempiga risasi anajulikana, bado amesimama wima!
 
Aisee,.kama kijimuvi flani hivi,naona hakuruhusiwa kabisa kuingia na gari ili tuone anavyojipangusa pangusa vimacho vyake.
 
Hivi upinzani wanajua kuwa ccm inazo tekniki kibao za kuzima upinzani kwa kutumia mamluki wake smarti kama wazee na vijana wanauwezo wa ku side na opposition huku wakiwa kwao dk za nyongeza wa mchezo ukiwa umewasajili najifunga huku wakionyesha kujaribu kuokoa . Twende na BM 2020 mtanyosha maelezo
Tunza comment hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…