MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
tulia wewe ambaye kaka ako sio raisUjajusi huo alishindwa kuutumia wkt kaka yake ni rais ili yeye awe next president ataweza kufanya nini sasa hivi akiwa benchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulia wewe ambaye kaka ako sio raisUjajusi huo alishindwa kuutumia wkt kaka yake ni rais ili yeye awe next president ataweza kufanya nini sasa hivi akiwa benchi.
Nitajie mwanasiasa asiye mnafiki!
Tafadhali niforwadie majibu yake.
Mmmmh let us just wait and see...kuna watu huwa hawabadiliki
[/QUO
HOW DICTATORS COME TO POWER AND ATTAIN GLORIFICATION BY PEOPLE
C&P by Hali Aquino, I have a graduate degree in psychology and a degree in international politics
THE DICTATORS
They Emerge in a Social and Economic Context
THERE ARE NO DICTATORS WITHOUT FOLLOWERS
They Are Charismatic
They Write Manifestos
They Teach
They Appear Sympathetic Toward Their Own Kind
They Inspire Fear
THE FOLLOWERS
They Are Not Us
They Are Distracted and Busy
They Are Vulnerable
They Want A Hero They Can Believe In
They Are Fearful of Others and Prone to Hate
Chifu mwombe msamaha mkuu wa nchi kwa kumwita mnafiki kwa sababu naye ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine. Hii ni kumteta Rais vibaya kama walivyofanya akina Nape.Nitajie mwanasiasa asiye mnafiki!
Hizi sifa zinamlingania sana Mwenyekiti wa chadema!Ametambua psychology ya ku-deal na dictator. Dictators want glorification! Kwa mazingira ya tanzania na njaa za CCM , unafiki wa CCM, mauaji ya CCM, utekeji wa CCM, sandarusi za CCM, kama huna roho ngumu lazima uta fall down as Nape , Makamba and Ngeleja. Bado makamba baba ba Kinana, sijui Membe!
HOW DICTATORS COME TO POWER AND ATTAIN GLORIFICATION BY PEOPLE
THE DICTATORS
They Emerge in a Social and Economic Context
THERE ARE NO DICTATORS WITHOUT FOLLOWERS
They Are Charismatic
They Write Manifestos
They Teach
They Appear Sympathetic Toward Their Own Kind
They Inspire Fear
THE FOLLOWERS
They Are Not Us
They Are Distracted and Busy
They Are Vulnerable
They Want A Hero They Can Believe In
They Are Fearful of Others and Prone to Hate
johnthebaptist Salary Slip
John ebu nambie katika sifa zote , sema ambayo nimemsingizia magufuliHizi sifa zinamlingania sana Mwenyekiti wa chadema!
Dr Magufuli siyo mwanasiasa ni " Mtumishi" wa umma.......wapendwa wananielewa hapa!Chifu mwombe msamaha mkuu wa nchi kwa kumwita mnafiki kwa sababu naye ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine. Hii ni kumteta Rais vibaya kama walivyofanya akina Nape.
Unafikiri tu ndani ya CCM..... Tanzania haitakuja kamwe kuendelea mpaka tutapoachana na unafiki.View attachment 1204066
CC: Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Halima Mdee, Fatma Karume, Maria Sarungi.
Mtumishi wa umma anae penda sifa na kusujudiwa, kama mfalume duh......Dr Magufuli siyo mwanasiasa ni " Mtumishi" wa umma.......wapendwa wananielewa hapa!
Si umeoa wewe lakini??🙄Hivi we mwanamke for how long shall I continue crying for you? I love you and you know that!
Nitajie binadamu mmoja tu asiyependa sifa!Mtumishi wa umma anae penda sifa na kusujudiwa, kama mfalume duh......
Mbowe, amesimamia analoliamini. Lisu pamoja na kupigwa risasi na aliyempiga risasi anajulikana, bado amesimama wima!
Nyerere hakupenda glorification kwa kiasi hiki, cha Jpm, Hassan mwinyi iko down to earth leader, Pinda n.k huyu Raisi anataka sifa kupitilizaNitajie binadamu mmoja tu asiyependa sifa!
alimkosea nini Magu?
Mtumishi wa umma anae penda sifa na kusujudiwa, kama mfalume duh......
Mbona makamanda mmekasirishwa sana na kitendo cha Nape kuomba msamaha?!!
Nitajie mwanasiasa asiye mnafiki!