Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Amjajiuliza KWA nn ngeleja na January atukuwawrkea macamera .........NAAMINI atashika adabu ukombeleni
 
Aliulizwa kule azam tv hio sauti ni ya kwako akaanza kujibu majibu yasiyoeleweka'ooh kimsingi hili suala lina ujinai ndani yake sijui nini',inshort hakueleweka alichokua anakisema.

Aaahh basi hicho kigugumizi kilikuwa na sababu za Msingi....ndo maana kijasho chepesi kilikuwa kinamtoka kabla hata hajakutana na Jiwe..
 
1568191122935.png
1568191122935.png
 
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amefika Ikulu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha. Ameomba msamaha na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.

Akizungumza akiwa nje ya Ikulu baada ya kuzungumza na Rais Magufuli, Nape Nnauye amesema "Kwanza nimekuja kumuona baba yangu lakini Mwenyekiti wa Chama changu, Rais wangu kwasababu wote mnajua mambo yaliyopita au kutokea hapo katikati na mimi kama mtoto wa CCM, kama mwanae, nimeona ni vizuri nije niongee na Baba yangu.

Nashukuru kwamba amenipa fursa ya kuja kumuona na ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri na kwakweli kwa dhati ya moyo wangu nishukuru sana amenipa fursa kubwa sana."

Mbunge Nape anaendelea kusema "Kwa kweli Muheshimiwa Rais kama Baba yangu, kama mzazi wangu nashukuru sana kwa fursa uliyonipa kwa kunisikiliza, kwa kunisamehe, kunishauri, kunielekeza nifanye nini huko mbele ninapokenda."

Rais Magufuli amesma "Mimi nimeshamsamehe kwa dhati Nape, amekuwa akiandika 'message' nyingi sana za kuomba msamaha hata saa nane za usiku nimemuona huyu mtu akiomba msamaha'"

"Leo ameniomba hapa aje anione na kabla, amejaribu sana, ameenda kwa Mzee Mangula amefika hadi kwa Mzee Opson na Mama Nyerere, amehangaika kweli. Na kwamba sisi tumeumbwa kusamehe, na wewe umemuona asubuhi amekuja hapa nikasema siwezi kumzuia kumuona ngoja nimuone kwanza japo nilikuwa na kikao kingine na kikubwa"
ameongeza Rais Magufuli

"Anachozungumza ni kwamba naomba Baba unisamehe, najua kusamehe kunaumiza lakini nasema kwa dhati kabisa nimemsamehe kabisa na anaeleza yaliyokuwa yanamsibu na baadhi ya watu waliokuwa wanamrubuni. Wengine wapo kwenye chama lakini nasema yote tumesamehe kwa sababu bado ni kijana mdogo na ana 'future' nzuri kwenye maisha yake."

"Nikiendelea kumshikilia kwenye moyo wangu, kwanza ni dhambi kubwa kwa mwenyezi Mungu na imeandikwa tusamehe saba mara sabini na Mungu amtangulie katika shughuli zake, akalee mke wake na familia yake, akakitumikie chama na akawatumikie wananchi wa jimbo lake."
Amemalizia Rais Magufuli

Wakimalizia katika maongezi yao nje ya Ikulu, Rais Magufuli alimuuliza Nape "Kwa hiyo ulikuwa huna amani?"

Nape: Sana

Rais Magufuli: Uwe na amani na Mungu akusaidie

Pia soma;
Mwanasiasa kijana hiyu alitaka kujialibia future yake ya kisiasa kwa sababu ya kufuata bendera
 
Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu. Wazungu husema scratch my back and I will scratch yours.

Kwahiyo atawasingizia watu maarufu kama hao ili iweje labda?Au hao aliosema walitumwa wamekufa?
 
sa
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amefika Ikulu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha. Ameomba msamaha na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.

Akizungumza akiwa nje ya Ikulu baada ya kuzungumza na Rais Magufuli, Nape Nnauye amesema "Kwanza nimekuja kumuona baba yangu lakini Mwenyekiti wa Chama changu, Rais wangu kwasababu wote mnajua mambo yaliyopita au kutokea hapo katikati na mimi kama mtoto wa CCM, kama mwanae, nimeona ni vizuri nije niongee na Baba yangu.

Nashukuru kwamba amenipa fursa ya kuja kumuona na ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri na kwakweli kwa dhati ya moyo wangu nishukuru sana amenipa fursa kubwa sana."

Mbunge Nape anaendelea kusema "Kwa kweli Muheshimiwa Rais kama Baba yangu, kama mzazi wangu nashukuru sana kwa fursa uliyonipa kwa kunisikiliza, kwa kunisamehe, kunishauri, kunielekeza nifanye nini huko mbele ninapokenda."

Rais Magufuli amesma "Mimi nimeshamsamehe kwa dhati Nape, amekuwa akiandika 'message' nyingi sana za kuomba msamaha hata saa nane za usiku nimemuona huyu mtu akiomba msamaha'"

"Leo ameniomba hapa aje anione na kabla, amejaribu sana, ameenda kwa Mzee Mangula amefika hadi kwa Mzee Opson na Mama Nyerere, amehangaika kweli. Na kwamba sisi tumeumbwa kusamehe, na wewe umemuona asubuhi amekuja hapa nikasema siwezi kumzuia kumuona ngoja nimuone kwanza japo nilikuwa na kikao kingine na kikubwa"
ameongeza Rais Magufuli

"Anachozungumza ni kwamba naomba Baba unisamehe, najua kusamehe kunaumiza lakini nasema kwa dhati kabisa nimemsamehe kabisa na anaeleza yaliyokuwa yanamsibu na baadhi ya watu waliokuwa wanamrubuni. Wengine wapo kwenye chama lakini nasema yote tumesamehe kwa sababu bado ni kijana mdogo na ana 'future' nzuri kwenye maisha yake."

"Nikiendelea kumshikilia kwenye moyo wangu, kwanza ni dhambi kubwa kwa mwenyezi Mungu na imeandikwa tusamehe saba mara sabini na Mungu amtangulie katika shughuli zake, akalee mke wake na familia yake, akakitumikie chama na akawatumikie wananchi wa jimbo lake."
Amemalizia Rais Magufuli

Wakimalizia katika maongezi yao nje ya Ikulu, Rais Magufuli alimuuliza Nape "Kwa hiyo ulikuwa huna amani?"

Nape: Sana

Rais Magufuli: Uwe na amani na Mungu akusaidie

Pia soma;
sasa hawa wengine wanasubili nini makamba na wenzako, lissu na wenzako, tuige mfano wa nape huu ndo uzalendo jamani, malumbano hayana tija kwani ukiomba msamaha utakufa?
 
Nape hajasamehewa bali amepuuzwa tu, neno muhimu kutoka kwenye Jiwe ni ‘kaitumikie familia yako’ kisha likaona lizuge na kakitumikie chama na jimbo la lako.... ajiandae vema au kama kweli anahitaji msamaha alambe sana naniliu.
 
Hapo wamabaki MAKONKI tu.

Ila hapo MAKAMBA SNR simuamini sana ila KINANA na MEMBE hao sidhani kama wataomba msamaha.

Hao ni wastaafu wanaweza kuvunga, hawana cha kupoteza.... lakini itagharimu vizazi vyao.
 
AlhamduliLlah you have noticed that I follow the fundamentals of Islam.

Thanks for the praise.
My dear madam dont divert the content, following the fundamentals of Islam is quite different with being Islamic fundamentalist, these are two different things, to tell you the truth your atruly Islamic fundamentalist.
 
Huwa nawashangaa sana watu kama nyie. Mnawaza sana kuhusu half empty cup of coffee than half full cup of coffee. This attitude reflects your own frustrations in your personal lives. It’s better that you develop the art of positive thinking. Dunia imebadilika sana. Hizo Systems ndizo watu huzilinda kwa manufaa yao binafsi.

..usihangaike na mimi.

..hangaika na Jpm anayelinda chama na mfumo mbovu.
 
My dear madam dont divert the content, following the fundamentals of Islam is quite different with being Islamic fundamentalist, these are two different things, to tell you the truth your atruly Islamic fundamentalist.
I am truly a fundemetalist of Islam. I fundamentally follow Islam.

You are very right. Thanks.
 
MTU mzima kama Nape Nnauye anajua alifanyalo...kuwa mzee anapenda kuwa pleased ..kihivyoo simple tuu
Una Win Game
 
Hii inaonesha Tanzania tuna watu wa wanamna gani! Jinsi gani watu walivyo vigeugeu wasiyo jua wanacho simamamia na hao ndiyo viongozi wetu, dah! Nawaonea huruma sana mnao panga foleni kwenda kuwachagua hao wanao itwa viongozi.

Lakini Nape alishajitanabaisha unafiki wake, sioni kama ni jambo la ajabu, ilikuwa ni swala la muda tu na haswa muda wa kukaribia uchaguzi.
 
Tatizo lako umevimbiwa na kisusio
Membe ni mwepesi kama karatasi!
Nchi kama zetu ili mtu atoke madarakani ni mpaka system nzima iwe iwe imaamua hivyo, siyo tu kwa ushawishi wa ka mtu kamoja kama Membe.
 
Tatizo lako umezaliwa koromitdje ukasomea Nyamadooke na kazi ya ualimu ukapangiwa Kisesa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Najua leo lazima ulale na viatu,!
Vipi jasusi wenu mbobevu Membe watu wake wanasarenda kirahisi namna hii
 
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amefika Ikulu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha. Ameomba msamaha na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.

Akizungumza akiwa nje ya Ikulu baada ya kuzungumza na Rais Magufuli, Nape Nnauye amesema "Kwanza nimekuja kumuona baba yangu lakini Mwenyekiti wa Chama changu, Rais wangu kwasababu wote mnajua mambo yaliyopita au kutokea hapo katikati na mimi kama mtoto wa CCM, kama mwanae, nimeona ni vizuri nije niongee na Baba yangu.

Nashukuru kwamba amenipa fursa ya kuja kumuona na ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri na kwakweli kwa dhati ya moyo wangu nishukuru sana amenipa fursa kubwa sana."

Mbunge Nape anaendelea kusema "Kwa kweli Muheshimiwa Rais kama Baba yangu, kama mzazi wangu nashukuru sana kwa fursa uliyonipa kwa kunisikiliza, kwa kunisamehe, kunishauri, kunielekeza nifanye nini huko mbele ninapokenda."

Rais Magufuli amesma "Mimi nimeshamsamehe kwa dhati Nape, amekuwa akiandika 'message' nyingi sana za kuomba msamaha hata saa nane za usiku nimemuona huyu mtu akiomba msamaha'"

"Leo ameniomba hapa aje anione na kabla, amejaribu sana, ameenda kwa Mzee Mangula amefika hadi kwa Mzee Opson na Mama Nyerere, amehangaika kweli. Na kwamba sisi tumeumbwa kusamehe, na wewe umemuona asubuhi amekuja hapa nikasema siwezi kumzuia kumuona ngoja nimuone kwanza japo nilikuwa na kikao kingine na kikubwa"
ameongeza Rais Magufuli

"Anachozungumza ni kwamba naomba Baba unisamehe, najua kusamehe kunaumiza lakini nasema kwa dhati kabisa nimemsamehe kabisa na anaeleza yaliyokuwa yanamsibu na baadhi ya watu waliokuwa wanamrubuni. Wengine wapo kwenye chama lakini nasema yote tumesamehe kwa sababu bado ni kijana mdogo na ana 'future' nzuri kwenye maisha yake."

"Nikiendelea kumshikilia kwenye moyo wangu, kwanza ni dhambi kubwa kwa mwenyezi Mungu na imeandikwa tusamehe saba mara sabini na Mungu amtangulie katika shughuli zake, akalee mke wake na familia yake, akakitumikie chama na akawatumikie wananchi wa jimbo lake."
Amemalizia Rais Magufuli

Wakimalizia katika maongezi yao nje ya Ikulu, Rais Magufuli alimuuliza Nape "Kwa hiyo ulikuwa huna amani?"

Nape: Sana

Rais Magufuli: Uwe na amani na Mungu akusaidie

Pia soma;
Mwaka huu tutasikia mauzauza mengi sana. Hii komedi inafahamika na chief commedian ni mzee wa Magogoni. Inawezekanaje mambo binafsi kama haya yatangazwe hadharani tena kwa kiki kubwa? Kupenda sifa ni jambo hatari sana.

Lakini kama kweli amewasamehe kama anavyoitangazia dunia, basi awe tayari kuwarejeshea vyeo walivyokuwa navyo kabla ya kuwavua vyeo hivyo kwa chuki na kwa nia ya kuwakomoa.
 
Back
Top Bottom