Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ikate ukaibandike chumbani kwako.Picha nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikate ukaibandike chumbani kwako.Picha nzuri
Toka mitandao imeanza, ccm haijawahi kushinda huku kwakuwa nguvu za vyombo vya dola haziko huku. Hakuna mwanachama yoyote, narudia tena, mwanaccm yoyote anayeweza kufanya siasa nje ya upendeleo wa vyombo vya dola. Kama yuko mwanaccm anayemudu siasa nje ya vyombo vya dola mtaje.
Ndio rais ni mtu Mkubwa Sana kumtusi ni sawa na kuhujumu uchumi, au wewe hujui? Au unajitoa ufaham? Unadani kumtukana rais wa nchi ni Jambo Dogo Kama unavyoweza kumtus jirani yako, kumtusi rais ni kuitus nchi mkuuu ndio maaana unaona kiongoz yoyote wa nchi nyingne akitusi nchi nyingne au kuikashfu anaambiwa aombe msamaha kwa nchi husikaAkili matope ndo hizi...mtu akimtukana Magufuli anakuwa 'mhujumu wa uchumi'?
Nani alimpinga lowassa chadema?Aiseee!!!! Magu 2020 anapitishwa na chama bila kupigwa, yaani mission ya kina Nape ilikuwa ya kitoto sana....
Umesema kweli kabisa. Ila mimi kwa taarifa yako siyo mshabiki wa Magufuli ila ni mwananchi wa Magufuli anayeridhishwa na sehemu ya juhudi zake za uongozi.Wewe ndiyo atakaye tuma kama choo kwa buku saba.majority wa supporter wa opposition angalau wana life lakini % kubwa ya washsbiki wa Magu hawajielewi isipokuwa wale wachache sana wanaonufaika
Hahaha
Kwa hizi dalili Magufuli anaenda kushinda 95%
Duh Magufuli ameishika nchi, bado Membe.
Nappe alikuwa anaenda kukatwa 2020
Njaa haina baunsa.
Kwenye ligi za kabumbu lazima wawepo watu wa kufanya faulo hili ushindi upatikane. Hivyo mzee wa faulo lazima ajisalimishe mapema.Ndo siasa hizi
unafiki mwanzo mwisho
Baada ya uchaguzi mwakani tutajua rangi halisi za wanasiasa
huyu anayeombwa msamaha kwa kweli will need his head examined kama anaamini kweli hawa wanaomwomba msamaha wao tayari wamemsamehe in the first place.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari. Hii ni baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.
Akizungumza akiwa nje ya Ikulu baada ya kuzungumza na Rais Magufuli, Nape Nnauye amesema "Kwanza nimekuja kumuona baba yangu lakini Mwenyekiti wa Chama changu, Rais wangu kwasababu wote mnajua mambo yaliyopita au kutokea hapo katikati na mimi kama mtoto wa CCM, kama mwanae, nimeona ni vizuri nije niongee na Baba yangu.
Nashukuru kwamba amenipa fursa ya kuja kumuona na ameniambia amenisamehe na amenipa ushauri na kwakweli kwa dhati ya moyo wangu nishukuru sana amenipa fursa kubwa sana."
Mbunge Nape anaendelea kusema "Kwa kweli Muheshimiwa Rais kama Baba yangu, kama mzazi wangu nashukuru sana kwa fursa uliyonipa kwa kunisikiliza, kwa kunisamehe, kunishauri, kunielekeza nifanye nini huko mbele ninapokenda."
Rais Magufuli amesma "Mimi nimeshamsamehe kwa dhati Nape, amekuwa akiandika 'message' nyingi sana za kuomba msamaha hata saa nane za usiku nimemuona huyu mtu akiomba msamaha'"
"Leo ameniomba hapa aje anione na kabla, amejaribu sana, ameenda kwa Mzee Mangula amefika hadi kwa Mzee Opson na Mama Nyerere, amehangaika kweli. Na kwamba sisi tumeumbwa kusamehe, na wewe umemuona asubuhi amekuja hapa nikasema siwezi kumzuia kumuona ngoja nimuone kwanza japo nilikuwa na kikao kingine na kikubwa" ameongeza Rais Magufuli
"Anachozungumza ni kwamba naomba Baba unisamehe, najua kusamehe kunaumiza lakini nasema kwa dhati kabisa nimemsamehe kabisa na anaeleza yaliyokuwa yanamsibu na baadhi ya watu waliokuwa wanamrubuni. Wengine wapo kwenye chama lakini nasema yote tumesamehe kwa sababu bado ni kijana mdogo na ana 'future' nzuri kwenye maisha yake."
"Nikiendelea kumshikilia kwenye moyo wangu, kwanza ni dhambi kubwa kwa mwenyezi Mungu na imeandikwa tusamehe saba mara sabini na Mungu amtangulie katika shughuli zake, akalee mke wake na familia yake, akakitumikie chama na akawatumikie wananchi wa jimbo lake." Amemalizia Rais Magufuli
Wakimalizia katika maongezi yao nje ya Ikulu, Rais Magufuli alimuuliza Nape "Kwa hiyo ulikuwa huna amani?"
Nape: Sana
Rais Magufuli: Uwe na amani na Mungu akusaidie
Pia soma;
Imevuja sauti inayodaiwa ni Maongezi ya Simu ya Nape Nnauye na Abdulrahman Kinana kuhusu njama za kuichafua CCM
Ni kuhusu barua iliyotolewa na Makamba na Kinana kuhusu kuchafuliwa na Musiba. Ni Maelekezo ya Kinana Kumtaka Nape aisambaza barua kwenye vyombo vya habari. Kinana: Mwambie bwana hawa jamaa wanatoa statement leo, Unafikiri tumpe nakala? [Nape: Hapana] Mwambie wanaiandaa Mzee wataitoa leo...www.jamiiforums.com
Hahaha ukomavu ni lifelong learningHamna kitu ndugu, ukomavu angeuonyesha kwa waliomfikisha hapo alipo.
Inategemea na bidii ya kusifia, akiendelea na mafumbo yake atatupiliwa mbali.Sidhani kama hili ( Nape kuomba msamaha) litamzuia JPM kumkata jina lake kwe uchaguzi ujao. Hii ilikuwa ni justification tu ya kuwa wakina Nape na wenzie walikosea, na mzee baba yeye always yupo right. Na alichotaka JPM, ni hiki kilichotokea.
Kwasababu tayari Nape ameshaonekana ni "kirusi" tangu siku nyingi kwa chama na utawala huu ujumla, basi sina hakika sana kama jina lake litapita tena Mtama 2020.