Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Bado Lisu.
Kwa Kosa lipi Mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado Lisu.
Unafiki na ubinafsi vimetawala sana mkuu!!Bado tuna safari ndefu sana ya kulikomboa Taifa letu kutoka mikononi mwa wahuni, majizi, mafisadi na WAUAJI.
Wanachojali ni MATUMBO YAO tu bali si maslahi ya nchi.
Wewe wacha kurukia wanaume jifungue kwanza hiyo mimba uliyo nayoKamanda Lissu anaenda ACT utamfuata?
Ukitaka kula na kipofu usimshike mkono , Membe ni hatari sana !
Mbona ameshukia mbali na makaz ya Rais akaanza kutembea kwa miguu? Uku tunaonaga wageni wengine wanashushwa mbaka karibia na ngazi za kuingia ndani ikulu.
Membe ni mwepesi kama karatasi!Kijasusi nimekuelewa sana japo na Mzee Baba nae hajalala Usingizi ,labda apitiwe .
Katiba aliotuachia Nyerere ndio inasababisha yote haya. Ndio maana sometimes sikumbali yule mzee. Alikua na kaubinafsi flani hiviYaani kanajikuta kenyewe ndo ka Mungu ka Tanzania
Ana hatari gani?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Najua leo lazima ulale na viatu,!Wewe wacha kurukia wanaume jifungue kwanza hiyo mimba uliyo nayo
Katiba aliotuachia Nyerere ndio inasababisha yote haya. Ndio maana sometimes sikumbali yule mzee. Alikua na kaubinafsi flani hivi
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Najua leo lazima ulale na viatu,!
Vipi jasusi wenu mbobevu Membe watu wake wanasarenda kirahisi namna hii
Kwa hiyo kwa akili zenu mlikuwa mmewekeza kwa akina Nape kwamba ndio watawasaidia kujitoa ccm?Unafiki na ubinafsi vimetawala sana mkuu!!