Mambo hayoKufuatia taarifa mfulululizo za wanasiasa wanaoenda kuomba msamaha kwa rais nini kinatafutwa? Alianza Ngereja na January Makamba leo Nape, Hivi ni nani anatafutwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo hayoKufuatia taarifa mfulululizo za wanasiasa wanaoenda kuomba msamaha kwa rais nini kinatafutwa? Alianza Ngereja na January Makamba leo Nape, Hivi ni nani anatafutwa?
Zile tweet na picha za kimafumbo ndio mwisho wake...
Ukishajua udhaifu wa adui yako upo wapi ni raha, unamchezea kama unacheza na mwanasesere.
Magufuli anahitaji kura? Nape ndo anamhitaji Magufuli siyo Magufuli kumhitaji NapeMagu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Kumuita diki teta.Kwa Kosa lipi Mkuu ?
Bado tuna safari ndefu sana ya kulikomboa Taifa letu kutoka mikononi mwa wahuni, majizi, mafisadi na WAUAJI.
Wanachojali ni MATUMBO YAO tu bali si maslahi ya nchi.
Mkuu upo sahihi kabisa yaani anayetafutwa hapo ni Membe, ngoja tuone karata za Jiwe nani atalamba garasa kati yake na mahasimu wake?Membe, ila si wote wanafanya hivyo kutoka moyoni bali tatizo ni katiba inayompa mtu mmoja madaraka makubwa bila kusahau aliyonayo ndani ya chama pia.
Subiri muda wake uishe ndio utajua rangi halisi za wanaodaiwa kwenda kuomba msamaha huku wakiwa na majeraha katika nafsi zao.
Sasa kile kilicho kuwa kina fanya atapike vile kimeshaondoka?Ujumbe ulisha fika Mkuu ,Sababu ya ile Nia na Dhamira ya kukerwa na jambo flani ilitimia baada ya kutapika Nyongo kwa mhusika.
Akili matope ndo hizi...mtu akimtukana Magufuli anakuwa 'mhujumu wa uchumi'?