omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
Wala mimi siko huko unakofikiri, na hili ni tatizo kubwa la Tanzania kwa wote mnaamini eti kama sio simba basi ni yanga.Na amewahi kudhalilishwa kwa kutishiwa risasi hadharani na kufukuzwa uwaziri...
Unafikiri watanzania wamesahau ninyi Sukuma gang?!!
Nadhani unaona hadi sasa kila anayeongea anatibua na sisi tulio neutral tunabaki kujiuliza kuwa hivi hawa ndio watu na chama kilichokabidhia kusimamia nchi?