Wala mimi siko huko unakofikiri, na hili ni tatizo kubwa la Tanzania kwa wote mnaamini eti kama sio simba basi ni yanga.Na amewahi kudhalilishwa kwa kutishiwa risasi hadharani na kufukuzwa uwaziri...
Unafikiri watanzania wamesahau ninyi Sukuma gang?!!
Hahahaha!Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;
"Aaaah kiroboto[emoji1787][emoji1787]ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke [emoji443]NONSENSE!!"
View attachment 2040636
View attachment 2040592
Tuliamua kupambana na matatizo ya nchi kwa kujifanya kufumba macho na kuassume eti hayapo. Matatizo haya ni kama ukabila, udini na upendeleo mwingine yamekuwa siri sana kumbe yanaendelea chinichini.Kwa nini watoto wa viongozi wastaafu wapewe ubalozi ?
Na wewe ndio wale wale wenye mentality za kina Nape
Waafrika tujivue mindset za u-chifu na utoto na ujukuu wa uchifu
Hakuna cha unyutro wala nini, si mseme tu mmeumia dikteta kuondoka?Wala mimi siko huko unakofikiri, na hili ni tatizo kubwa la Tanzania kwa wote mnaamini eti kama sio simba basi ni yanga.
Nadhani unaona hadi sasa kila anayeongea anatibua na sisi tulio neutral tunabaki kujiuliza kuwa hivi hawa ndio watu na chama kilichokabidhia kusimamia nchi?
Mpaka sasa hajafanikiwa kitu. Sana sana anazidi jujididimiza kwenye tope.Hujamwelewa, amefanikiwa hasa
Ni kweli ana maswali ya msingi. Ila wengine tunafurahia maana hata yeye alikuwa hatakai watu wanaouliza maswali ya msingi kipindi yuko kule juu. Aliona ni kosa la jinai kuuliza au kuwa na mawazo tofauti. Sasa naye anaonja uchungu huo huo.Maswali ya Polepole ni ya msingi. Wasimshambulie kwa mipasho.
Nape hana jipya zaidi ya kutegemea urithi wa siasa za marehemu baba yake.Kumbe nayeye alikua makini akisubiri press ya Polepole...
[emoji56]
Hii inaonyesha ni kiasigani wana CCM walikua wakisuburi kwa ham kusikia Polepole akitangaza kung'atuka ehhhh...
[emoji12]
Ebu nitoshe kumkumbusha Nape atunze akiba ya maneno, asije akaponzwa masikio kuzidi kichwa..
Huku ''saiti''tunamuona kiroboto shujaa,amekuwa na uthubutu wa kusema yale ambayo walamba viatu wanayaimba, badala ya kuzijibu hoja wahuni wanafanya mipasho na kusahau kuwa sisi tulio chini tunawaona na hiyo CCM yao.Ila CCM hawajua kinachoendelea mtaani sio? Wafanye tafiti kuna chuki sana inajengeka, watakuja washangae akitokea mwanasiasa ana nguvu...watashangaa sana watu kama kina Nnape. Just someone to ignite
Sema siasa za mlezi wake, huyo anayetumia jina lake si baba yake ndio maana kawa vuvuzela tu la wenye CCM yao. je umewasikia watoto wa wenye CCM wakibwabwaja ujinga mitandaoni?Nape hana jipya zaidi ya kutegemea urithi wa siasa za marehemu baba yake.
Hukusikia Samia anaanza kumsifia JPM huo ni ushindi wa PolepoleMpaka sasa hajafanikiwa kitu. Sana sana anazidi jujididimiza kwenye tope.