Uchaguzi 2020 Nape Nnauye: Maamuzi yanafanywa na wapiga Kura

Uchaguzi 2020 Nape Nnauye: Maamuzi yanafanywa na wapiga Kura

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.

Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!•

Nape Nnauye
 
Alitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.
Screenshot_2020-09-30-06-32-15-1.jpg
 
•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto. Kura na maamuzi yanafanywa na Watanzania sio Mahakama ya Kimataifa ya Kesi za Jinai!•
Huyu pungwani kabisa! Yeye si kawa mbunge viti maalum...kapita bila kupigiwa kura?
Anawaongelea wapiga kura gani?
 
•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto. Kura na maamuzi yanafanywa na Watanzania sio Mahakama ya Kimataifa ya Kesi za Jinai!•
Sasa Kama maamuz yanafanywa wanananchi Kwa nini huyo Nape hakuyaacha hayo maamuz yafanywe na wananchi akayafanya pekee yake na polis mwisho akajitangaza kupita bila kupingwa?
 
•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto. Kura na maamuzi yanafanywa na Watanzania sio Mahakama ya Kimataifa ya Kesi za Jinai!•
Watu wanalilia na kuimba Mahakama kutokana na neno hilo hilo alilolisema kuwa maamuz hufanywa na wananchi matokeo yake yamefanywa na polis na kikundi cha kigaid Au hajui kuwa kuna wilaya nyingi hakutafanyika Uchaguzi wa wabunge? Hajui kuwa kuna wilaya nyingi hakutafanyika Uchaguzi wa madiwani? Sasa hayo maamuz yamefanywa na wananchi?
 
Hovyooo. Maamuzi yanafanywa kwa bao la mkono. Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Sasa huko Ikulu unafuata nini? Mwanaume suruali wewe. Jimbo la mtama umepita ubunge bila kupingwa, haya ni maamuzi ya wananchi?

Sasa Kama maamuz yanafanywa wanananchi Kwa nini huyo nape hakuyaacha hayo maamuz yafanywe na wananchi akayafanya pekee yake na polis mwisho akajitangaza kupita bila kupingwa?

Roho ya huyo mtu ipo kinafiki....

Kutetea CCM inahitaji ujasiri na kujitoa akili...
 
Roho ya huyo mtu ipo kinafiki....

Kutetea CCM inahitaji ujasiri na kujitoa akili...
Kutetea maslahi ya Ulaya na amerika ukiwa mtanzania inahitaji level ya juu zaidi ya kutokujielewa
 
huyu jamaa ananjaa sana nafikiri baada ya kunyang'anywa uwaziri,watu kamahawa usiwaamini sana,yule mwenzie kama kujinyamazia.
Njaa mbaya mkuu.

Nape alienda pale ikulu akawa anajisemesha eti baba nisamehe baba,Magu nae akamjibu Nape ni sawa na mwanangu nimekusamehe lkn kusamehe kunauma jamani.
 
Kutetea maslahi ya ulaya na amerika ukiwa mtanzania inahitaji level ya juu zaidi ya kutokujielewa
Bangi ni mbaya ujue...inakaa kichwani miaka saba.

Kama huko Jalalani ulikosoma ulikuwa unalipuliza basi ujue bado halijaisha.

Huyu anayeitwa maslahi ya ukata na Amerika ni nani??
 
Back
Top Bottom