technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tapeli la kisiasa mala goli la mkono mala maamzi ni ya wanachi tuelewe lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are empty headed! Ya Kenyetta ilikuwa vitisho?Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Eti naye ni mwanaume, huyu ana kitu kingine siyo mwanamumeAlitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.View attachment 1585172
Wafuasi wa amustadamu mna shida kubwa sana, mlizaliwa wapi sijuiBangi ni mbaya ujue...inakaa kichwani miaka saba.
Kama huko Jalalani ulikosoma ulikuwa unalipuliza basi ujue bado halijaisha.
Huyu anayeitwa maslahi ya ukata na Amerika ni nani??
Eti naye ni mwanaume, huyu ana kitu kingine siyo mwanamume
Hilo lilipangwa kwa ustadi. Asiingie kwa gari bali atembee kwa miguu njia ya wapita kwa mguu. Alinyanyasika siku ile na akaishia kula yale aliyoyatapika.Alitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.View attachment 1585172
Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Hembu maneno haya yaweke kinyume chake hayawezi pia kuleta maana nyingine kuwa wapiga kura ndo wenye maamuzi na hizi kelele za ICC tusizipuuze maana Mara nyingi mtu anaweza kusema mkamuuza kuna siku atatenda kweli kama wapiga kura watakuwa wameamuaUtotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Ndiyo wananchi wameamua kumtisha bila kupingwa! Sasa kama wanasaccos wameshindwa kuweka mgombea?Watu wanalilia na kuimba Mahakama kutokana na neno hilo hilo alilolisema kuwa maamuz hufanywa na wananchi matokeo yake yamefanywa na polis na kikundi cha kigaid Au hajui kuwa kuna wilaya nyingi hakutafanyika Uchaguzi wa wabunge? Hajui kuwa kuna wilaya nyingi hakutafanyika Uchaguzi wa madiwani? Sasa hayo maamuz yamefanywa na wananchi?
Naona mmeshaanza kupiga magoti na kulia lia hovyo.Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Hivi una hakika na hiki ulichokiandika kweli ulikuwa hujavuta ugoro bila kula?Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Mzee wa bao la mkono. Endelea nape humo, jinga kabisa. Hakuna mtu hovyo kigeugeu, mchumia tumbo kama NAPE. This guy is so bogus which makes me wonder how he even got into politics.Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!
Hili nalo pumbavu tuAlitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.View attachment 1585172