Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Walipokutolea bastola ulinyong'onyea kama katoto leo umesahau? Bashite alikukunja ukaloa leo umesahau ndugu nape we ni mwanaume hata lissu akichua nchi utaishi bora zaidi kuliko SASA mnajua hata were binafsi haupendi Maisha ya kujikombakomba ila ni mfumo BORA UKAE KIMYAUtotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na watanzania sio mahakama ya kimataifa ya Kesi za Jinai!