Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Maamuzi ufanywa na akina jecha
Alitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.View attachment 1585172
Huyu pungwani kabisa! Yeye si kawa mbunge viti maalum...kapita bila kupigiwa kura?•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto. Kura na maamuzi yanafanywa na Watanzania sio Mahakama ya Kimataifa ya Kesi za Jinai!•
Sasa Kama maamuz yanafanywa wanananchi Kwa nini huyo Nape hakuyaacha hayo maamuz yafanywe na wananchi akayafanya pekee yake na polis mwisho akajitangaza kupita bila kupingwa?•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto. Kura na maamuzi yanafanywa na Watanzania sio Mahakama ya Kimataifa ya Kesi za Jinai!•
Watu wanalilia na kuimba Mahakama kutokana na neno hilo hilo alilolisema kuwa maamuz hufanywa na wananchi matokeo yake yamefanywa na polis na kikundi cha kigaid Au hajui kuwa kuna wilaya nyingi hakutafanyika Uchaguzi wa wabunge? Hajui kuwa kuna wilaya nyingi hakutafanyika Uchaguzi wa madiwani? Sasa hayo maamuz yamefanywa na wananchi?•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto. Kura na maamuzi yanafanywa na Watanzania sio Mahakama ya Kimataifa ya Kesi za Jinai!•
Alitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.View attachment 1585172
huyu jamaa ananjaa sana nafikiri baada ya kunyang'anywa uwaziri,watu kamahawa usiwaamini sana,yule mwenzie kama kujinyamazia.Alitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.View attachment 1585172
Hovyooo. Maamuzi yanafanywa kwa bao la mkono. Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Sasa huko Ikulu unafuata nini? Mwanaume suruali wewe. Jimbo la mtama umepita ubunge bila kupingwa, haya ni maamuzi ya wananchi?
Sasa Kama maamuz yanafanywa wanananchi Kwa nini huyo nape hakuyaacha hayo maamuz yafanywe na wananchi akayafanya pekee yake na polis mwisho akajitangaza kupita bila kupingwa?
Bado mtetezi wa amustadamuAlitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.View attachment 1585172
Kutetea maslahi ya Ulaya na amerika ukiwa mtanzania inahitaji level ya juu zaidi ya kutokujielewaRoho ya huyo mtu ipo kinafiki....
Kutetea CCM inahitaji ujasiri na kujitoa akili...
Hakika.Bado mtetezi wa amustadamu
Usaliti ni mwiko
Njaa mbaya mkuu.huyu jamaa ananjaa sana nafikiri baada ya kunyang'anywa uwaziri,watu kamahawa usiwaamini sana,yule mwenzie kama kujinyamazia.
Alitembezwa kwa miguu ikulu huyu,full kudhalilishwa.View attachment 1585172
Bangi ni mbaya ujue...inakaa kichwani miaka saba.Kutetea maslahi ya ulaya na amerika ukiwa mtanzania inahitaji level ya juu zaidi ya kutokujielewa