kweli kabisaNao pia hawajazaliwa maalumu kuwa wabunge. Wakatafute kazi zingine ama wakajiajiri.
imagine, hadi alihepi aliyemtukana kikwete amepewa shavu, kwa jeuri ile kumtukana kikwete kwamba mzee mstaafu yeye alihepi atamshughulikia. ila hawa wamechinjiwa baharini.Za ndaani kabisa ni kwamba nape na january pamoja na wabunge 15 wa ccm hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe ,wakiwamo pia mbunge wa sumbawanga mjini ! Mbunge wa chato ,mbunge wa kilolo ,mbunge wa kigoma mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa hata iweje ! Mfumo wa utawala wa sasa umewakataa! Ushauri wangu nendeni upinzani mapema kabla hamjavuliwa nguo ccm sio mama yenu
Mbunge wa Kilolo amechokwa kwa sababu gani?Za ndaani kabisa ni kwamba nape na january pamoja na wabunge 15 wa ccm hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe ,wakiwamo pia mbunge wa sumbawanga mjini ! Mbunge wa chato ,mbunge wa kilolo ,mbunge wa kigoma mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa hata iweje ! Mfumo wa utawala wa sasa umewakataa! Ushauri wangu nendeni upinzani mapema kabla hamjavuliwa nguo ccm sio mama yenu
mbunge wa kilolo ni nani kwani? anayemjua lete jina hapa.Mbunge wa Kilolo amechokwa kwa sababu gani?
Anaitwa Nyamogambunge wa kilolo ni nani kwani? anayemjua lete jina hapa.
Mfumo wa utawala wa Sasa umewakataaZa ndaani kabisa ni kwamba nape na january pamoja na wabunge 15 wa ccm hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe ,wakiwamo pia mbunge wa sumbawanga mjini ! Mbunge wa chato ,mbunge wa kilolo ,mbunge wa kigoma mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa hata iweje ! Mfumo wa utawala wa sasa umewakataa! Ushauri wangu nendeni upinzani mapema kabla hamjavuliwa nguo ccm sio mama yenu
kwani ana shida gani?Anaitwa Nyamoga
Hapana walikua ItongoitaleWakati mzee nnauye anatengeneza connection wengine mlikua mwigumbi kwenye majaluba, ccm inawenyewe bana
Kwa kweliWakati mzee nnauye anatengeneza connection wengine mlikua mwigumbi kwenye majaluba, ccm inawenyewe bana