Pre GE2025 Nape Nnauye na January Makamba mfumo wa utawala wa sasa umewakataa. Nendeni upinzani mungu atawatokea mkiwa huko huku hata bungeni hamrudi 2025!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mbunge wa Chato, mbunge wa Kilolo, mbunge wa Kigoma Mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa hata iweje

Mfumo wa utawala wa sasa umewakataa!

Ushauri wangu nendeni upinzani mapema kabla hamjavuliwa nguo CCM sio mama yenu
 
Wakati mzee nnauye anatengeneza connection wengine mlikua mwigumbi kwenye majaluba, ccm inawenyewe bana
 
Za ndaani kabisa ni kwamba nape na january pamoja na wabunge 15 wa ccm hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe ,wakiwamo pia mbunge wa sumbawanga mjini ! Mbunge wa chato ,mbunge wa kilolo ,mbunge wa kigoma mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa hata iweje ! Mfumo wa utawala wa sasa umewakataa! Ushauri wangu nendeni upinzani mapema kabla hamjavuliwa nguo ccm sio mama yenu
imagine, hadi alihepi aliyemtukana kikwete amepewa shavu, kwa jeuri ile kumtukana kikwete kwamba mzee mstaafu yeye alihepi atamshughulikia. ila hawa wamechinjiwa baharini.
 
Za ndaani kabisa ni kwamba nape na january pamoja na wabunge 15 wa ccm hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe ,wakiwamo pia mbunge wa sumbawanga mjini ! Mbunge wa chato ,mbunge wa kilolo ,mbunge wa kigoma mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa hata iweje ! Mfumo wa utawala wa sasa umewakataa! Ushauri wangu nendeni upinzani mapema kabla hamjavuliwa nguo ccm sio mama yenu
Mbunge wa Kilolo amechokwa kwa sababu gani?
 
Za ndaani kabisa ni kwamba nape na january pamoja na wabunge 15 wa ccm hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe ,wakiwamo pia mbunge wa sumbawanga mjini ! Mbunge wa chato ,mbunge wa kilolo ,mbunge wa kigoma mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa hata iweje ! Mfumo wa utawala wa sasa umewakataa! Ushauri wangu nendeni upinzani mapema kabla hamjavuliwa nguo ccm sio mama yenu
Mfumo wa utawala wa Sasa umewakataa
 
Washajilimbikizia vya kutosha wawapishe kina Wasira waje kujilimbikizia tena round ya pili.

Miaka 30 ijayo ikiwa wapo hai, watarudi tena.
 
CA0F0094-FE3C-4BB6-A914-F6F7A97D33EA.jpeg
 
Yaani kabla hatujachangia ameisharudisha na kusamehe
Royal family wapo wengi sana na hujirudia tu kwenye mamlaka
 
Back
Top Bottom