Pre GE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe la kwako lipoje? Mwanaume mzima tangia lini ukaanza kuangalia vichwa vya wanaume wenzako badala ya kufanya kazi ujipatie kipato?
Niliangalia bahati mbaya nikajua ni kontena la maokoto kumbe ni bichwa duh!

ila linape halina mvuto wa kisiasa kabisa, bora hata umpiganie makonda lakini si huyo.
 
Kongole,,,,"mawazo ya mtu aliye pevuka"
 
Acha uhayawani wako na ujinga hapa wewe.vinini vimeuzwa.Taifa letu ni moja na watanzania ni wamoja .msituletee ujinga wenu wa kutaka kupandikiza ubaguzi baada ya kuwa mmeshindwa kuwashawishi wananchi kwa hoja ili wawaungeni mkono.

Vituo vya afya, hospitali za wilaya, mikoa, kanda na rufaa zilizojengwa hapa Bara kwa wingi sana, kwanini zisingejengwa Zanzibar? Km 237.9 za barabarani za njia nne za lami kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe kwanini zisijengwe Zanzibar kwa kuwa Rais anatokea Zanzibar? Vipi kuhusu maelfu ya ajira yaliyotolewa na kupewa vijana? Vipi kuhusu kupandishwa kwa mishahara kwa watumishi wa umma? Kwanini kumefanyika na kutolewa pesa? Pesa hizo si zingepelekwa basi Zanzibar?

Kwanini CHADEMA hamna akili kiasi hicho? Mnatumia ujumbe gani kwa viongozi wenu wanaotoka zanzibar na wapo ndani ya CHADEMA? Hamtakwenda kuomba kura Zanzibar uchaguzi ujao?
 
Tunahitaji siasa safi ambazo hazitaleta mfarakano kwenye jamiii kama TL au Nauye wakikosea wanapaswa wote kukemewa kwa ajiri ya faida katika jamii yetu ya kitanzania kwani hakuna marefu ya sio na incha, CDM wanahitaji muda wa kujipanga ziadi juu siasa za Tz kwani wanamtaji mkubwa sana wa vijana ambao wapo mtaani.....

Pia CCM ni chama tawala kipo makini na siasa zake katika nyanja za kuongoza inchi wapo makini hasa katika kipindi hichi cha uchaguzi tuhitaji viongozi bora ambao watasimama kwa ajir ya watanzania na sio kwa ajiri ya watu wachache .......

..... Tuhitaji siasa safi.....
 
Kama akiwaondoa wakaazi wa Mchambawima nitamwelewa zaidi,lakini hili la kuwaondoa wamaasai katika makaazi yao ta asili simuelewi hata kidogo.
 
Nape anataka apitishwe tena bila kupingwa. Ni mfaidika wa uchaguzi haramu.
 
Kwanza mimi nashangaa Watanganyika kutawaliwa na raia wa kigeni kwa sababu hii inayoitwa serikali ya muungano ni ya Tanganyika,serikali gani ya Muungano Rais wake hana mamlaka yoyote upande mwingine wa muungano! Yeye pamoja ni Mzanzibar lakini hana mamlaka ya kuteua hata Mtendaji wa kijiji kule Zanzibar! Yeye mamlaka yake ni Tanganyika tu!
 
Tundu Lissu kawatupia jiwe gizani, sasa wanaruka na kukanyagana, wanamshambulia Kama mpira wa corner bila kujibu hoja zake… sasa waandae mdahalo live tuone mamelody na yanga ni nani…
Watuambie je ni kweli kwamba hatuna Raisi maana vigevyo vya kusheria havikufuatwa Kwa kutochapisha Matokeo au hili ni la uongo wa Lisu Kama wanavyodai…?
Kukanyagana ni sawa na kupasua matofali Kwa mkono au kubeba kilo 70 wakati huko Duniani ni madrone tupu…
Mdahalo utafaa sana
 
Wajinga ka wewe hampaswi kupewa nafasi kabisa, umeandika pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…