imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
100%Nape ni mzalendo zaidi kuliko marehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%Nape ni mzalendo zaidi kuliko marehemu
Wangekuwa hawajui kutishia wangekuwa washampiga na yeye ila waliishia kutishia tu.Wale Wahutu hawajui kutishia muulize Lissu.
Halafu usisahau kuwa aliomba msamaha kwa mambo ambayo hakuwa amefanya kosa. Hili amelisema tu. Kuna uongo bila shaka.Mbona hakuonge siku zote au ndo unafiki wa wana siasa
Mungu ndio alimsaidia.Wangekuwa hawajui kutishia wangekuwa washampiga na yeye ila waliishia kutishia tu.
Kwani hukumbuki tukio la Nape alipo taka kufanya mkutano!? Au ulikuwa bado mdogo sana.Kwamba unaona angemteka au kumuuwa kabisa?
Wale jamaa walikua na pipe pale clouds walikua wanafanya nn?Hakukua na uvamizi at least kwa video iliyoonekana mitandaoni, huyo nape alitaka kumfundisha kazi bosi wake.
Na wabongo walivokomalia ile ishu na uongo mwingine mwingi ilifanya niamini hii dunia imejaa ubatili mtupu
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wengine tulikuwa hatujui, ndio maana kuna vitabu vimeandika mambo ya miaka milioni iliyopitaIshu ina miaka takribani 6. Politicians sometym
Acha bhana...Jiwe alikuwa naamua nani aishi na yupi asiishi....bahati nzuri kwa mpenda haki ...nayeye tar 17 last mwezi aliamuliwa na Sir God asepe.Ni wakati wa kusema Sasa kwanini alitoka ikulu huku anageuka geuka nyuma halafu analia..
Ni wakati wa kusema ukweli sasa
Kwa hiyo unataka tufiche kichwa kichakani?old stories,leo tunajadili report ya CAG
Ikisemwa sasa inasaidia nini? Hii nafasi yake ipo wazi lakini nchi yetu ni hivyo tena wamerudishwa hata wale wanashughulikia meno ya tembo!!!Ikiwa na miaka sita ndio haisemwi?
Na Mungu huyo huyo ndio aliyeacha Lissu apigwe risasi kama asingetaka isingekuwa.Mungu ndio alimsaidia.
Ingekuwa hivyo angeuwa wengi tena tunaowajua sio zile maiti za kwenye hatujui hata akina nani na sababu za kuuliwa kwao.Acha bhana...Jiwe alikuwa naamua nani aishi na yupi asiishi....bahati nzuri kwa mpenda haki ...nayeye tar 17 last mwezi aliamuliwa na Sir God asepe.
Ndio nakuuliza kwamba unaamini yule aliyemtolea bastola Nape kwamba alikuwa anaweza kumpiga kabisa risasi Nape na kumuuwa kisa kufanya mkutano?Kwani hukumbuki tukio la Nape alipo taka kufanya mkutano!? Au ulikuwa bado mdogo sana.
Jinai haifi mkuu au siyo?Ishu ina miaka takribani 6. Politicians sometym
Makonda yupo ila hakamatwi ila watu wanabaki kusengenya tu.Jinai haifi mkuu au siyo?
Sasa kama alijua ataondolewa kwanini alipaniki kiasi kile?
Labda kama umesahau,zilivujishwa audio yeye na akina Kinana, makamba nk wakimsema vibaya mkuu wa nchiHalafu usisahau kuwa aliomba msamaha kwa mambo ambayo hakuwa amefanya kosa. Hili amelisema tu. Kuna uongo bila shaka.