Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Hakukua na uvamizi at least kwa video iliyoonekana mitandaoni, huyo nape alitaka kumfundisha kazi bosi wake.

Na wabongo walivokomalia ile ishu na uongo mwingine mwingi ilifanya niamini hii dunia imejaa ubatili mtupu

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wale jamaa walikua na pipe pale clouds walikua wanafanya nn?
 
Mnafki tuu wanataka kutuondoa kwenye reli swala la ripoti ya CAG
 
Kwani sasaivi anafanya kitugani cha maana.
 
Ni wakati wa kusema Sasa kwanini alitoka ikulu huku anageuka geuka nyuma halafu analia..

Ni wakati wa kusema ukweli sasa
Acha bhana...Jiwe alikuwa naamua nani aishi na yupi asiishi....bahati nzuri kwa mpenda haki ...nayeye tar 17 last mwezi aliamuliwa na Sir God asepe.
 
Acha bhana...Jiwe alikuwa naamua nani aishi na yupi asiishi....bahati nzuri kwa mpenda haki ...nayeye tar 17 last mwezi aliamuliwa na Sir God asepe.
Ingekuwa hivyo angeuwa wengi tena tunaowajua sio zile maiti za kwenye hatujui hata akina nani na sababu za kuuliwa kwao.
 
Kwani hukumbuki tukio la Nape alipo taka kufanya mkutano!? Au ulikuwa bado mdogo sana.
Ndio nakuuliza kwamba unaamini yule aliyemtolea bastola Nape kwamba alikuwa anaweza kumpiga kabisa risasi Nape na kumuuwa kisa kufanya mkutano?
 
Back
Top Bottom