Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Wale jamaa walikua na pipe pale clouds walikua wanafanya nn?
 
Mnafki tuu wanataka kutuondoa kwenye reli swala la ripoti ya CAG
 
Kwani sasaivi anafanya kitugani cha maana.
 
Ni wakati wa kusema Sasa kwanini alitoka ikulu huku anageuka geuka nyuma halafu analia..

Ni wakati wa kusema ukweli sasa
Acha bhana...Jiwe alikuwa naamua nani aishi na yupi asiishi....bahati nzuri kwa mpenda haki ...nayeye tar 17 last mwezi aliamuliwa na Sir God asepe.
 
Acha bhana...Jiwe alikuwa naamua nani aishi na yupi asiishi....bahati nzuri kwa mpenda haki ...nayeye tar 17 last mwezi aliamuliwa na Sir God asepe.
Ingekuwa hivyo angeuwa wengi tena tunaowajua sio zile maiti za kwenye hatujui hata akina nani na sababu za kuuliwa kwao.
 
Kwani hukumbuki tukio la Nape alipo taka kufanya mkutano!? Au ulikuwa bado mdogo sana.
Ndio nakuuliza kwamba unaamini yule aliyemtolea bastola Nape kwamba alikuwa anaweza kumpiga kabisa risasi Nape na kumuuwa kisa kufanya mkutano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…