Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

huyu jamaa kilaza sana!
hivi kwa nafasi aliyonayo ni wa kutueleza hayo? sisi yanatusaidia nini kwa leo hii? au anafikiri nafsi zetu haziumii kwa yeye kukumbatia makampuni ya simu?halafu huyu anafikiria katika mawazo yake anaweza kuwa waziri mkuu
Maggu=dikteta
 
Mkituletea Ben saanane azori gwanda na wengine walio potea kwenye mazingira ya kutatanisaha tuta waruhusu
Kamuulizeni gaidi mbowe anajua walipo. Kama kawachinja au kawaficha kisha kuisingizia serikali awaambie yeye
 
Mpuuzi, nini kinawazuia kuifufua kesi tena?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
nape ni mjinga,tumbo kubwa na kichwani amejaza kamasi.


ikulu kwa magu ulifuata nin?



magu amefariki now umeanza kutanua matako.
 
Sisi tunawaambia kila siku Katiba yetu ina shida - hawa hawa wanatubishia. Haya mambo kama katiba ipo sawa hayawezi kutokea - katiba inayompa mamlaka mtu mmoja tu kuwa Mungu mtu.

Hapa simlaum Mwendazake, nalaumu Katiba yetu.
 
Pengine aliogopa kuwa displaced. Mambo yalikuwa nagumu mkuu au umesahau tayari?
Kuna kuomba radhi kwa kukosea na kuna kuomba radhi kwa ajili ya kujenga uhusiano na usalama wa maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…