Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.

Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao sehemu ambayo ipo kilomita chache toka makao makuu ya halmashauri ya Mtama.

Katika hali ambayo iliniacha na maswali ni namna Nape alivyokuwa anajibu maswali ya wananchi wake kwa kupeleka lawama kwa Hayati JPM.

Mfano alipotakiwa atolee maelezo kwanini zao la korosho msimu huu bei yake ghalani imekuwa ndogo Nape akaaminisha umma hayo ni matokeo ya mfumo mbovu uliotumika wakati uliopita wa Serikali kununua Korosho.

Sipo hapa kusadiki ama kutosadiki aliyozungumza Nape bali ni kuishangaa chuki ya wazi kwa Hayati JPM mwenyewe. Ningemwelewa Nape kama angesema haya ni matokeo mabovu ya serikali ya chama cha Mapinduzi badala ya kum'attack mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Serikali ya CCM ingali madarakani bado inao wajibu wa kueleza haya kwa wananchi wake kuliko kujificha kwenye kivuli cha hayati.

Msafiri.
Safarini Mtama.
Wajati uouo kipindi cha Magufuli hichohicho wakulima waliwah kuuza korosho kwa Tsh 3000
 
Hii kauli "mwacheni apumzike"..
Ina maana watu wakiongea ndo hapumziki?..
Kuna wenzetu mliwahi kwenda huko mkarudi na haya??
Hii ni miiko na tamaduni mbovu kabisa za kiafrika za kupumbaza watu wasijadili mabaya ya mtu aliyefariki. Ubaya wake ni kuwa watu tunashindwa kujifunza kutokana na makosa ya nyuma, hivyo hali haibadiliki. Binadamu kujua historia yetu (ikiwemo matendo ya nyuma yaliyotendwa na binadamu wengine yawe mazuri au mabaya) ni jambo muhimu ili tuweze kupanga leo na kesho yetu.
 
Mtoa hoja ngoja tuwe sober hapa,wewe inafikiria mh.Nape hakua mkweli alipotamka kuwa bei ya korosho imeshuka kutokana na serikali ya President Magufuri kutokusema ukweli na kuwa na mwelekeo wa bei ya korosho?its not a rocket science bei ya korosho iliathirika mno na awamu ya tano ya kuingiza siasa mno kwenye jambo hili
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani bei ya korosho ilikuwa tsh ngapi kwa kilo?

Fungua mwananchi hapo bei ya korosho 2014 ilikuwa 2,500/=
Mwaka 2016 Korosho mnada wa kwanza iliuzwa 3,700/= kwa kilo ila mgogoro ulitokea 2018 kati ya wafanyabiashara wa korosho na serikali na pale Wafanyabiashara walipotaka kununua korosho kwa Tsh 2500 kwa kilo ila serikali ikagoka na hasa Magu kwani yeye akitaka wanunue kwa Tsh 3,300 kima cha juu na kima cha chini 3000 mnada wa kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.

Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao sehemu ambayo ipo kilomita chache toka makao makuu ya halmashauri ya Mtama.

Katika hali ambayo iliniacha na maswali ni namna Nape alivyokuwa anajibu maswali ya wananchi wake kwa kupeleka lawama kwa Hayati JPM.

Mfano alipotakiwa atolee maelezo kwanini zao la korosho msimu huu bei yake ghalani imekuwa ndogo Nape akaaminisha umma hayo ni matokeo ya mfumo mbovu uliotumika wakati uliopita wa Serikali kununua Korosho.

Sipo hapa kusadiki ama kutosadiki aliyozungumza Nape bali ni kuishangaa chuki ya wazi kwa Hayati JPM mwenyewe. Ningemwelewa Nape kama angesema haya ni matokeo mabovu ya serikali ya chama cha Mapinduzi badala ya kum'attack mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Serikali ya CCM ingali madarakani bado inao wajibu wa kueleza haya kwa wananchi wake kuliko kujificha kwenye kivuli cha hayati.

Msafiri.
Safarini Mtama.
Usipo kubari kukosolewa face to face basi jiandae kusemwa behind your back.
 
Kuendekeza visasi na visirani kwa mtu alietangulia mbele za haki, hakusaidii kituu. Kwani mtu kutolewa kwenye uwazirii ndo ukasirikeee hadi leo???
 
Ingawa kaongea kwa chuki lakini kaongea hoja ya ukweli.

Angeongea kwa chuki halafu hoja za uongo hapo angekua amekosea.

Vipi kama angeongea sifa njema za Magufuli ingekua anamsumbua Marehemu huko aliko?
 
Ningelikuwa polepole ningeomba maandamano ya amani mwakani tarehe iliyotangazwa kifo cha Magufuli jumapili yake nchi nzima halafu waone mziki wake huyo mtu alikuwa anapendwa vipi.

Na wengine wakitaka waombe maandamano ya amani ya kumuunga mkono mama Samia, sijui kumshukuru JK kwa uongozi wake wa awali, Mkapa, Nyerere, Jaji Warioba and so forth na watu wanaedhani anastahili maandamano ya amani.

Magufuli jembe kinachoendelea ni kujitekenya na kucheka wenyewe awawezi zima mafanikio ya Magufuli ndani ya miaka 20 ijayo labda aje mwingine kabla.

Mama mwenyewe keshawaambia vile viatu ni vikubwa kwake. Busara nikuwaelewesha wananchi mama anashabaha gani ila kumfananisha na Magufuli ni ‘mbingu na ardhi’.
 
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.

Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao sehemu ambayo ipo kilomita chache toka makao makuu ya halmashauri ya Mtama.

Katika hali ambayo iliniacha na maswali ni namna Nape alivyokuwa anajibu maswali ya wananchi wake kwa kupeleka lawama kwa Hayati JPM.

Mfano alipotakiwa atolee maelezo kwanini zao la korosho msimu huu bei yake ghalani imekuwa ndogo Nape akaaminisha umma hayo ni matokeo ya mfumo mbovu uliotumika wakati uliopita wa Serikali kununua Korosho.

Sipo hapa kusadiki ama kutosadiki aliyozungumza Nape bali ni kuishangaa chuki ya wazi kwa Hayati JPM mwenyewe. Ningemwelewa Nape kama angesema haya ni matokeo mabovu ya serikali ya chama cha Mapinduzi badala ya kum'attack mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Serikali ya CCM ingali madarakani bado inao wajibu wa kueleza haya kwa wananchi wake kuliko kujificha kwenye kivuli cha hayati.

Msafiri.
Safarini Mtama.
Mi si m

Safarini Mta

Mbona kwenye maelezo yako hakuna mahali Nape amemtaja huyo Jpm wako na lilo zuri ameitaja serikali kwa ujumla wake kama ulivyotaka, Acha kujifanya kutetea Jpm kwa kuonesha chuki yako kubwa dhidi ya Nape.
 
Matokeo ya majibu yake atayaona 2025 hapiti bila kupingwa!
Kweli kabisa; Nape ni mtu wa ovyo sana. Mleta uzi u gejaribu kizungumza na wananchi wa hilo eneo ungekuwa ni jinsi gani hawamkubali nape.

Kea kifupi niseme huu uzi wako umeuleta kinafiki
 
Hii kauli "mwacheni apumzike"..
Ina maana watu wakiongea ndo hapumziki?..
Kuna wenzetu mliwahi kwenda huko mkarudi na haya??
Atapumzikaje na mwenyewe alisema akifika huko akhera anataka akaongoze malaika....

Ni mwendo wa majukumu tu 🤣🤣🤣
 
Huyo kanyimwa madaraka tyuu
Jana nilikuwa jimboni Mtama, sehemu ambayo mwakilishi wake kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nape Moses Nnauye mwanasiasa kijana aliyewahi kuwa Mwenezi wa CCM na Waziri wakati fulani.

Akiwa kwenye mikutano yake kwa wapiga kura wa Mtama, jioni ya jana ilikuwa zamu ya Nyangao sehemu ambayo ipo kilomita chache toka makao makuu ya halmashauri ya Mtama.

Katika hali ambayo iliniacha na maswali ni namna Nape alivyokuwa anajibu maswali ya wananchi wake kwa kupeleka lawama kwa Hayati JPM.

Mfano alipotakiwa atolee maelezo kwanini zao la korosho msimu huu bei yake ghalani imekuwa ndogo Nape akaaminisha umma hayo ni matokeo ya mfumo mbovu uliotumika wakati uliopita wa Serikali kununua Korosho.

Sipo hapa kusadiki ama kutosadiki aliyozungumza Nape bali ni kuishangaa chuki ya wazi kwa Hayati JPM mwenyewe. Ningemwelewa Nape kama angesema haya ni matokeo mabovu ya serikali ya chama cha Mapinduzi badala ya kum'attack mtu ambaye hawezi kujitetea tena.

Serikali ya CCM ingali madarakani bado inao wajibu wa kueleza haya kwa wananchi wake kuliko kujificha kwenye kivuli cha hayati.

Msafiri.
Safarini Mtama.
 
Siipendi CCM, siyapendi matendo ya Nape na baadhi ya tabia zake lakini hapo namtetea na kaongea kweli tupu
Tuache chuki binafsi kwa maslahi mapana ya taifa. Hivi kama kweli mfumo ulioweka na awamu iliyopita ndio ulikuwa mbovu kwanini bei hailingani na ya msimu uliopita ama kuwa juu yake.

Mnawafanya wakulima wajinga Sana lakini sio mnavyodhani.
 
Mtoa hoja ngoja tuwe sober hapa,wewe inafikiria mh.Nape hakua mkweli alipotamka kuwa bei ya korosho imeshuka kutokana na serikali ya President Magufuri kutokusema ukweli na kuwa na mwelekeo wa bei ya korosho?its not a rocket science bei ya korosho iliathirika mno na awamu ya tano ya kuingiza siasa mno kwenye jambo hili
Awamu ya tano wakulima waliuza shilingi ngapi na sasa wanauza shilingi ngapi?

Nadhani ulijibu Hili swali utajiona ni jinsi gani ulivyo mjinga
 
Nape kasema kweli, hayati kaumiza sn watu
Tofauti ya wenye hela na maskini ni katika namna tunavyofanya mambo yetu. JPM anahusikaje na kushuka bei za korosho? Mbona tuliambiwa zinanunulika USA?
 
Kweli kabisa; Nape ni mtu wa ovyo sana. Mleta uzi u gejaribu kizungumza na wananchi wa hilo eneo ungekuwa ni jinsi gani hawamkubali nape.

Kea kifupi niseme huu uzi wako umeuleta kinafiki
Mimi mleta nimekoma!
 
Back
Top Bottom