Nape Nnauye: Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

Miti ya asili ina chukua hata miaka 100 kukua. Tatizo nalo pata wasiwasi na hydroelectric ni ina tegemea mawingu. Kutegemea turbines zinazo endeshwa na maji ya mvua sidhani ni suluhisho, turbines zinaendeshwa na deep sea currents, umeme wa sola, gas na nuclear
 
Kwa asilimia ngapi ya miti na kwa ukubwa upi wa eneo la maji ? Hapo kuna hesabu ndugu sasa wewe umetumia hesabu gani ? Pia umeme wa maji unapunguza matumizi ya kuni ambayo ndiyo adui no 1 kwa kuharibu mazingira ,kuhusu nape ni mpumbavu kama nilivyo sema kwa sababu wakati wa kikwete mamilioni ya Tani za magogo yalikuwa yanakatwa na kutoroshwa na mafisadi atukumsikia akisema kitu ,pia hapa tz maeneo ya kupanda miti ni mengi sana kama tumekata miti mil 4 kwajili ya bwawa kwanini tusipande miti hata milioni 200 maeneo si yapo au maeneo yamekwisha ? Mlima kilimanjaro unaeneo kubwa limebaki kipara kwanini wasipande miti huko na kwingineko
 
Lazima ualibufu utokee ndio maendeleo yake hata ukikata nyasi niualibifu
 
Ikitaka maendeleo kata miti....

Nchi kama marekan au chini maeneo mengi hakuna miti...

Mkitaka maendeleo ya haraka inapaswa viwanda viongezeke na huwez kuwa na viwanda msituni..
 
kwani kijana anachangamoto gani!
au umesahau kuwa vijana ndio wenye nguvu!😂😂😂
si hawa hawa walimpuuza Prof Mwalyosi kwamba utafiti wake ulikuwa hauna tija leo hii wanaanza kujua madhala yake.walimdhalilisha mzee wa watu na kufrustrate mpaka leo hii wala hajulikani aliko.
 
Hili ni JINGA tu halina kitu kichwani.
Mabadiliko ya hali ya Hewa inayoshuhudiwa sasa ni kutokana na Mataifa ya Magharibi kuwa na Viwanda vingi na kugoma kuchukua hatua za kupunguza athari zake kwa kuhofia kushuka kiuchumi.
Anatokea mpumbavu mmoja anasema eti Bwawa la Mwl Nyerere limesababisha kukatwa kwa miti mingi. Ujinga kabisa huu.
 
Mkoa wa Dar unalishwa na mkaa unaotoka mkoa wa Pwani na hali hii ni miaka na miaka imekuwepo.

Jiulize ni miti mingapi imeshakatwa na kuacha pori katika wilaya zinazolizunguka jiji la Dar.

Ikikatwa miti kwa ajili ya mradi wa umeme inakuwa nongwa!!.
 
Upuuuzi mtupu, huyu jamaa na makamba wana ajenda yao
 
Yani Tanzania tuna Vijana wa hovyo Sana, nape mwisho wake utakuwa wa hovyo Sana,time will tell.
 
Kati ya vitu alivyifanya mwendazake, akiwa na akili timamu, ni hili la umeme wa Stiglaz.
Mradi huo Awamu ya 6 uhakikishe unakamilika.
 
Unaelewa maana ya volume na standing stem....

Miti iliyokatwa ni 2.658m na sio 3.495m, hii 3.495m ni ujazo wa miti yenyewe sema watu wanapotaka kufikisha ajenda zao ndo hutafuta namna ya kuongeza namba ttzo lionekane kubwa...

Mzee alishasema, ni afadhali ufanye ukosee kuliko kutokufanya kabisa... watz tuache woga maendeleo hayaji kwa kuogopa kufanya. Fanya ukiharibu ndo utajifunza kufanya kwa usahihi next time... kwa wajasiriamali wanasema risk it all...
 
Nyumbu gang hawawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…