Punnisher
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,169
- 1,376
West wameharibu mazingira kwa muda mrefu sana...Kama mnafikiria mpo kwenye stage ya kufanya maendeleo bila kuharibu mazingira, fikirieni tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
West wameharibu mazingira kwa muda mrefu sana...Kama mnafikiria mpo kwenye stage ya kufanya maendeleo bila kuharibu mazingira, fikirieni tena
Kwa hiyo ahongwe cheyo ili anyamaze?Akili za nzi wa chooni utazijua hata kwa uandishi tu.Hangaya amuteue tu hata naibu waziri ili aache kutapika huyu jamaa.
ApKwa hiyo ahongwe cheyo ili anyamaze?Akili za nzi wa chooni utazijua hata kwa uandishi tu.
Ateuliwe tu maana ndo anachotafuta.Kwa hiyo ahongwe cheyo ili anyamaze?Akili za nzi wa chooni utazijua hata kwa uandishi tu.
Akiteuliwa utahama chooni uhamie wapi?Majalala yote yanamilikiwa na vichaa wenzio wa CCM.Ap
Ateuliwe tu maana ndo anachotafuta.
Sawa nzi wa chooni?
Haka kamnyama katakuwa kalikula matunda yanayotumika kutengeneza Amarulana hawa ndio wabunge wenyewe wa sisiemu wakiwa bungeni kuchangia mijadala mbalimbali inayohusu wananchi wao majimboni.
![]()
Labda kenyewe kanatumika kutengeneza AMARULA🙄🙄Haka kamnyama katakuwa kalikula matunda yanayotumika kutengeneza Amarula
1) Mimi nampinga Nape kuhusu kukata miti hiyo na swala la Ukame mikoa ya Lindi na Mtwara - sababu yangu kubwa ni mvua za mikoa hiyo zina tengenezwa Baharini kusini hazitoki inland (bara). Mvua za mikoa ya Arusha, Mara na Kili, Tanga zina tokea Bahari (North of Dar) - mkoa wa Kagera unapata mvua zake kutoka Ziwa Victoria (Lakini siyo mkoa wa Mara japo kuwa yote in sehemu ya ziwa!)Nape ni mpumbavuu sehemu ya miti iki replesiwa na maji inakuwa inatunza mazingira kuliko miti kwenye swala la mvua .....hivyo sehemu yenye miti mil100 ikiligeuza bwawa unakuwa ujaharibu mfumo wa mvua kuelekea ukame kwa sababu kinacho fanywa na miti kinafanywa na bwawa vizuri zaidi
Kwa mara ya kwanza katika historia ya kuumbwa dunia, mkoa wa Iringa umekosa mvua msimu huu, 2021!View attachment 2020373
View attachment 2020376
Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3.
Akazidi kuelezea kuwa eneo linalotakiwa kukatwa miti hiyo ni sawa na eneo lote la Dar es Salaam au eneo lote la Unguja. Akaendelea kueleza athari itakayotokana na ukataji wa miti hiyo ni upungufu mkubwa mvua katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, Iringa n.k. na hivyo athari hii itawafanya wananchi wakose mvua kwa ajili ya shughuli zao za kilimo.
Mimi binafsi sijaamini maneno yake kama ni ya kweli LAKINI kama ni ya kweli lazima tuwalaumu sana Wabunge wetu tunaowapeleka Bungeni kwa kutosimamia yale tuliowatuma.
Kwanini awamu ya tano kila kitu kilikuwa ndiyoooo bila kutafakari hoja zinazoletwa mbele yao. Miti 4.3m inakatwa?. Wabunge mnashangilia?. Wananchi tuje tukose mvua ikichukuliwa kuwa mvua ndiyo maisha yetu? Hapana hapana.
Tunawaomba tunapowatuma Bungeni simamieni hoja za kuwasaidia wananchi na siyo kumridhisha mtu mmoja. Kwa usemi wa Mhe. Nape kuna shida kubwa sana huko mbele.
======
UPDATE:
View attachment 2020383
Ana changamoto za upumuaji wa ubongokwani kijana anachangamoto gani!
au umesahau kuwa vijana ndio wenye nguvu![emoji23][emoji23][emoji23]
Anajua statistics ya miti mingapi inakatwa kila siku au kwa mwaka Tanzania?View attachment 2020373