Nape Nnauye: Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

Nape Nnauye: Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

Kifo cha magufuli kimefungua rangi halisi za wananzengo 😃😃😃
Imagine watu wamekabwa na kiazi cha moto kooni kwa miaka 6
Naimagine kama magufuli angeishi na ndugai amzawadie miaka dahari magogoni, watu aangekufa na madukuduku mioyoni😅😅
 
Hangaya amuteue tu hata naibu waziri ili aache kutapika huyu jamaa.
 
Wacha waendelee kujitokeza kutoka mashimoni walikojificha,mvua imeisha,kumeshapambazuka.

Its morning in Tanzania,ule Uhuru wa maoni mlioulilia ndy huu,msimtafsiri km mpinga maendeleo,ni maoni yake

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sioni shida ,hayo Ni mawazo ya nape Kama nape ,hatuweze kuwalazimisha watu katika jamii yetu wawe na mitazamo ya Aina moja.

Kwa maoni yake nape anaona huo mradi Hauna faida,so tusimfundishe Nini Cha kufikiri Bali aeleweshe umhimu wa mradi huo huku na yeye.akieleza Ni kwanini anaona mradi huo haufai.

Mimi naamini hata maendeleo tuliyo nayo yamekuwepo baada ya watu kuwa na mawazo mbadala
/Kinzani
 
na hawa ndio wabunge wenyewe wa sisiemu wakiwa bungeni kuchangia mijadala mbalimbali inayohusu wananchi wao majimboni.
giphy.gif
Haka kamnyama katakuwa kalikula matunda yanayotumika kutengeneza Amarula
 
Watanzania hatuna tofauti na malaya. Umeme ukikata kelele mbajengewa bwawa bado kelele aisee[emoji28][emoji28]. Hii nchi ngumu sana
 
Nape ni mpumbavuu sehemu ya miti iki replesiwa na maji inakuwa inatunza mazingira kuliko miti kwenye swala la mvua .....hivyo sehemu yenye miti mil100 ikiligeuza bwawa unakuwa ujaharibu mfumo wa mvua kuelekea ukame kwa sababu kinacho fanywa na miti kinafanywa na bwawa vizuri zaidi
1) Mimi nampinga Nape kuhusu kukata miti hiyo na swala la Ukame mikoa ya Lindi na Mtwara - sababu yangu kubwa ni mvua za mikoa hiyo zina tengenezwa Baharini kusini hazitoki inland (bara). Mvua za mikoa ya Arusha, Mara na Kili, Tanga zina tokea Bahari (North of Dar) - mkoa wa Kagera unapata mvua zake kutoka Ziwa Victoria (Lakini siyo mkoa wa Mara japo kuwa yote in sehemu ya ziwa!)
2) Sasa kuhusu ni kipi kinacho peleka maji mengi angani kutengeneza mvua, kati ya bwawa na miti. Ni kweli, miti ina pump mvuke mwingi angani kuliko open water body. Sababu hasa ni evapotranspiration
Wakati open water body kuna gravity inapunguza vertical motion.
 
View attachment 2020373

View attachment 2020376

Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3.

Akazidi kuelezea kuwa eneo linalotakiwa kukatwa miti hiyo ni sawa na eneo lote la Dar es Salaam au eneo lote la Unguja. Akaendelea kueleza athari itakayotokana na ukataji wa miti hiyo ni upungufu mkubwa mvua katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, Iringa n.k. na hivyo athari hii itawafanya wananchi wakose mvua kwa ajili ya shughuli zao za kilimo.

Mimi binafsi sijaamini maneno yake kama ni ya kweli LAKINI kama ni ya kweli lazima tuwalaumu sana Wabunge wetu tunaowapeleka Bungeni kwa kutosimamia yale tuliowatuma.

Kwanini awamu ya tano kila kitu kilikuwa ndiyoooo bila kutafakari hoja zinazoletwa mbele yao. Miti 4.3m inakatwa?. Wabunge mnashangilia?. Wananchi tuje tukose mvua ikichukuliwa kuwa mvua ndiyo maisha yetu? Hapana hapana.

Tunawaomba tunapowatuma Bungeni simamieni hoja za kuwasaidia wananchi na siyo kumridhisha mtu mmoja. Kwa usemi wa Mhe. Nape kuna shida kubwa sana huko mbele.

======
UPDATE:

View attachment 2020383
Kwa mara ya kwanza katika historia ya kuumbwa dunia, mkoa wa Iringa umekosa mvua msimu huu, 2021!
 
Anajua statistics ya miti mingapi inakatwa kila siku au kwa mwaka Tanzania?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom