Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

Mpaka tupate shida ndio tuwmkenusingizini. Kwanini tusichukue uliopita western sea board kama backup?
 
Mtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Form four yenyewe wengi wanamaliza wapo sawa na ambao wameishia la saba tu, wamekariri kariri mambo hata hawaeleweki ndo maana nchi inalazimika kutazama upya mifumo ya elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…