Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisomaje uana habari ikiwa alikua na ziro o level!?Ndio zero brain
Suala la satellite mbona ni la muda mrefu,ni vile tu hamfuatilii mambo ya maana,tutarusha satellite kupitia dit,mipango ya muda na nadhani imekaribiaWewe unadhani satelite au hizo fibre cable za Baharini ni kama taa za kuongoza barabarani,
"Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launch | The Citizen" Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launchMpaka tupate shida ndio tuwmkenusingizini. Kwanini tusichukue uliopita western sea board kama backup?
"Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launch | The Citizen" Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launchCheki vilaza wengine Hawa kwaiyo hizo sera anazoziongelea zimetoka makalioni?
"Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launch | The Citizen" Tanzania secures orbital slot, paving way for first satellite launchWewe unadhani satelite au hizo fibre cable za Baharini ni kama taa za kuongoza barabarani,
Ila na wewe ni mshamba pro kabisaAcha ushamba Dogo. Waziri kazi yake ni kuongelea sera tu. Hata baako anaweza kuwa Waziri.
Unaambiwa tangu juzi Nape alikua baharini anaangaikaAkiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa lakini mpaka leo zaidi ya 70% ya internet imerejea kwa vyanzo mbadala.
=====
Nape Nnauye: Bajeti iliyopita tulitangaza bungeni na mchakato ulianza wa Tanzania kuwa na Sattelite yetu kama sehemu ya backup.
Baharini mikongo iko mingi, Serikali ya Rais Samia imeongeza mikongo mfano Rais Samia alilaunch tulitegemea uanze mwezi wa sita lakini kwa hali iliyotokea tunakimbizana kuuwasha sasa hivi.
Mpaka leo saa 10 usiku tulikuwa tumerejesha 78% ya internet, mpaka leo mchana tunatarajia kurejesha asilimia 90+ kama sio mia wakati mikongo iliyopata matatizo baharini wakiendelea kuhangaika nayo kwasababu yenyewe bado hali inaonekana inaweza kuchukua siku nyingi kama saba mpaka tisa.
Mtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Vipi Kuhusu form six division zero Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa akiongoza wasomi akina Tundu Lisu na akina Profesa Rwaitama hapo vipi?Eti form four failure ndo anakuwa waziri wa teknologia hivi CCM wahisi China ipo pale kwa bahati?
Wauze chademaVipi Kuhusu form six division zero Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa akiongoza wasomi akina Tundu Lisu na akina Profesa Rwaitama hapo vipi?
Afrika ina maajabu yake,January Makmba naye alifeli form 4 eti ndio Mshauri Mkuu (Waziri) wa mambo ya Nje na alikuwa nishati.Mtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Sasa utaongelea sera bila kuwa na upeo?.hivi unajua maana ya neno Serikali.Serikali ni Mawaziri.Acha ushamba Dogo. Waziri kazi yake ni kuongelea sera tu. Hata baako anaweza kuwa Waziri.
JF imejaa vijana wa vyuo, wanachojua ni kukosoa na kutukana.Ainisha uhovyo wake,acheni chuki zisizo na msingi
Sera anaandaa nani?. Kama hujui Jambo Kaa kimya.Acha ushamba Dogo. Waziri kazi yake ni kuongelea sera tu. Hata baako anaweza kuwa Waziri.
Tafuta CV utaon jinsi alivyojiharishia kwenye necta licha ya kuwa na mazingira BoraAlisomaje uana habari ikiwa alikua na ziro o level!?
Hiyo Satellite 🛰 ya Chama itarushwa kutokea Dodoma wakati Wagogo hawana Maji.