Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa lakini mpaka leo zaidi ya 70% ya internet imerejea kwa vyanzo mbadala.
=====
Maktaba: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Nape Nnauye: Bajeti iliyopita tulitangaza bungeni na mchakato ulianza wa Tanzania kuwa na Sattelite yetu kama sehemu ya backup.
Baharini mikongo iko mingi, Serikali ya Rais Samia imeongeza mikongo mfano Rais Samia alilaunch tulitegemea uanze mwezi wa sita lakini kwa hali iliyotokea tunakimbizana kuuwasha sasa hivi.
Mpaka leo saa 10 usiku tulikuwa tumerejesha 78% ya internet, mpaka leo mchana tunatarajia kurejesha asilimia 90+ kama sio mia wakati mikongo iliyopata matatizo baharini wakiendelea kuhangaika nayo kwasababu yenyewe bado hali inaonekana inaweza kuchukua siku nyingi kama saba mpaka tisa.
Pia, soma

- Changamoto ya Internet inazidi kuathiri shughuli mbalimbali nchini
- Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intanet
- Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet
- Fiber Internet vs Satelite Internet
- Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink
- Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani