100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Nasikia eti wanaokuja kutuwekea satellite ni wayahudi?Kama huko Gazza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia eti wanaokuja kutuwekea satellite ni wayahudi?Kama huko Gazza?
Ndio kabisa ili tupate mibaraka.Nasikia eti wanaokuja kutuwekea satellite ni wayahudi?
Nadhani hadi kufikia sasa, saa kumi na nusu wamesharejesha asilimia 99.99 ya internet. Hongereni sana.Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa lakini mpaka leo zaidi ya 70% ya internet imerejea kwa vyanzo mbadala.
=====
Nape Nnauye: Bajeti iliyopita tulitangaza bungeni na mchakato ulianza wa Tanzania kuwa na Sattelite yetu kama sehemu ya backup.
Baharini mikongo iko mingi, Serikali ya Rais Samia imeongeza mikongo mfano Rais Samia alilaunch tulitegemea uanze mwezi wa sita lakini kwa hali iliyotokea tunakimbizana kuuwasha sasa hivi.
Mpaka leo saa 10 usiku tulikuwa tumerejesha 78% ya internet, mpaka leo mchana tunatarajia kurejesha asilimia 90+ kama sio mia wakati mikongo iliyopata matatizo baharini wakiendelea kuhangaika nayo kwasababu yenyewe bado hali inaonekana inaweza kuchukua siku nyingi kama saba mpaka tisa.
Kweli Mimi ni mtoto ila ni msomi kukuzidi.Kweli wewe ni mtoto wa shule.
Kama unajua utendaji wake then ulikuwa hauna ulazima wa kuhoji na kama haujui why unasema ni chuki, kwan mimi namfahamu personally hadi nimchukie?Ainisha uhovyo wake,acheni chuki zisizo na msingi
Siwezi kukubishia mkuu, hongera kwa kunizidiKweli Mimi ni mtoto ila ni msomi kukuzidi.
Ma+viWewe ndiye Mshamba usiyejua chochote zaidi ya kufuata mkumbo.
Huyu ni kati ya mawaziri wasiokuwa na sifa ya u waziri na taswira halisi ya serikali ya Mzanzibari mtawala wa TanganyikaAkiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa lakini mpaka leo zaidi ya 70% ya internet imerejea kwa vyanzo mbadala.
=====
View attachment 2990898
Maktaba: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Nape Nnauye: Bajeti iliyopita tulitangaza bungeni na mchakato ulianza wa Tanzania kuwa na Sattelite yetu kama sehemu ya backup.
Baharini mikongo iko mingi, Serikali ya Rais Samia imeongeza mikongo mfano Rais Samia alilaunch tulitegemea uanze mwezi wa sita lakini kwa hali iliyotokea tunakimbizana kuuwasha sasa hivi.
Mpaka leo saa 10 usiku tulikuwa tumerejesha 78% ya internet, mpaka leo mchana tunatarajia kurejesha asilimia 90+ kama sio mia wakati mikongo iliyopata matatizo baharini wakiendelea kuhangaika nayo kwasababu yenyewe bado hali inaonekana inaweza kuchukua siku nyingi kama saba mpaka tisa.
Pia, soma
- Changamoto ya Internet inazidi kuathiri shughuli mbalimbali nchini
- Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intanet
- Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet
- Fiber Internet vs Satelite Internet
- Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink
- Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani
Vitu gani,utendaji upi umeona wa hovyo?Kama unajua utendaji wake then ulikuwa hauna ulazima wa kuhoji na kama haujui why unasema ni chuki, kwan mimi namfahamu personally hadi nimchukie?
Yule ni public figure na ana vitu vingi mtandaoni ambavyo ameweka huko mtandaoni ndivyo tunavyotumia kumhukumu wala sio chuki binafsi.
Hahaaa alifeli shule gani na alipata ngapi?Mtu aliyefeli forms four ndo anakuwa waziri wa teknologia
Good!!!Siwezi kukubishia mkuu, hongera kwa kunizidi
Ndo zao hizo, halafu wanadhani na sisi tunasahau.Likipita hili wanaweza kusahau mipango wa mfumo mbadala...
[emoji23]Uchawa na teknolojia ni kama maji na mafuta, havichangamani.
Hizo ni za ndani kabsa au sio 😂🤣Unaambiwa tangu juzi Nape alikua baharini anaangaika
MNACHOMLAUMIA BADO SIKIONI, MBONA AMETOA MWELEKEO MZURI SANA KWA KILE TUNACHOKWENDA KUFANYA KAMA TAIFA, KUWA NA FIXED ALTERNATIVE!, PINGAPINGA ZA CHADOMO BANA!Kama kuna wapuuzi wa kubwa ndani ya serikali ni huyu jamaa, huyu ilibidi abaki kama team ya propaganda tu katika chama, hakupaswa kuwa ndani ya serikali.