Nape Nnauye: Tulikodi uwanja wiki nzima ili CHADEMA wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia

Nape Nnauye: Tulikodi uwanja wiki nzima ili CHADEMA wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia

Hakukuwa na sababu ya kuyazungumzia hayo. Mengine ni kukaa kimya tu hata kama unajua ukweli fulani ama jambo fulani inapaswa unakaa na jambo hilo kifuani pako mpaka siku unaingia kaburini
 
Hili ni senge kabisa,bora siku ile Kitenge asingemzuia yule Henry Kisanduku ampige risasi tu pumbavu kabisa.
Wewe ni lijinga sana. Limdomo lako halinaga breki .kazi kuropoka ropoka kama lilevi la gongo au livuta bangi ambalo bangi imelikataa .
 
ishara ya mambo magumu huko mbele wanaanza kumsafisha mtu wao, chadema na watanzagiza msidanganyike mateso yote nchi hii iliyopitia yeye ni mhusika namba 1, angetaka na kuamua watu wengi wasio na hatia wasingeuliwa 10/29 na wala Tundu Lisu asingeteswa jela mwaka mzima.

never forget what they did to you …
 
Kwa hiyo wakina kinana ndo walikua wanatoa Nchi sio wapiga kura
 
Ujinga ni Ujinga ni ujinga ni Ujinga..inasadia nini sasa?Ukiwa mpuuzi hizi ndizo habari wanataka si mambo magumu magumu ya kutatua changamoto.
Nchi ni kama yao pekee yao ndio maana wanapata nafasi za kuongea upuuzi upuuzi
 
nape muongo kaja kumsafisha kikwete kwa njia yake uzuri watanzania huamini haraka kila jambo wanaloambiwa hawalifikirii hii ni kumsafisha
 
Huyu naye kichwa maji sana, jana tu mzee Warioba Kaongelea kuhusu ubaguzi unaojengwa na vyama vya siasa badala ya kuficha aibu zao wanazidi kuzitamka hadharani! Akili ipo hapa?
 
CHADEMA vila kuwa magaidi hawatakuja waingie ikulu. Hawa kwnge kama huyu huwa wa kuondoa tu! Hivyo alivyotoka kwenye mahojiano alitakiwa atandikwe risasi
 
Hakukuwa na sababu ya kuyazungumzia hayo. Mengine ni kukaa kimya tu hata kama unajua ukweli fulani ama jambo fulani inapaswa unakaa na jambo hilo kifuani pako mpaka siku unaingia kaburini
Hayo ni miongoni mwa maovu ya ccm wanayoyafanya dhidi ya chadema. Sarakasi zote wanazofanyiwa chadema ni ccm ndio waratibu wa maovu. Kila baya mtalisema kwa namna yake. Na ndio siku zote nasema ccm bila ya hila ya vyombo vya dola na taasisi zingine uwezo wa kushindana na chadema hawana.
 
Back
Top Bottom