Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Wanafiki sana. Ninyi si Mlikuwa mnamtukana kila aina ya Matusi?Kikwete alikuwa ni mwanademokrasia katika kipindi chake cha uongozi. Hata CHADEMA wenyewe ni mashahidi kwenye hilo,
Wewe ni lijinga sana. Limdomo lako halinaga breki .kazi kuropoka ropoka kama lilevi la gongo au livuta bangi ambalo bangi imelikataa .Hili ni senge kabisa,bora siku ile Kitenge asingemzuia yule Henry Kisanduku ampige risasi tu pumbavu kabisa.
Kumbe luge nae aliku wale wale tu na bilashaka hata kin majizo nao ndio haohao wanufaika wa mfumo
sasa hapo umejibu hoja yangu?Wanafiki sana. Ninyi si Mlikuwa mnamtukana kila aina ya Matusi?
HakikaHuyu ameanza kumtaja Kikwete aweze kupata teuzi
Msafi asafishwiKuna kitu kinatengenezwa hapa, kama sio mtu kusafishwa sijui...
Awamu hii mmerukwa akili siyo mchezoKuna mtu anasemwa kiana kwa namna alivyokosa uvumilivu wa kisiasa kwa wapinzani wake waliomzidi uwezo.
Hapajatokea rais mwanademokrasia kama kikwete nchi hiinape muongo kaja kumsafisha kikwete kwa njia yake uzuri watanzania huamini haraka kila jambo wanaloambiwa hawalifikirii hii ni kumsafisha
Jitahidi umzalie Abdul mtoto au mayai ya uzazi umeyalia kihepe??Wewe ni lijinga sana. Limdomo lako halinaga breki .kazi kuropoka ropoka kama lilevi la gongo au livuta bangi ambalo bangi imelikataa .
Duh,Nape Nnauye: Tulikodi uwanja wiki nzima ili CHADEMA wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia
Kwani wewe huwa unajiona una hoja, au kuandika thread ndefu kwako ndiyo hoja.Acha ujinga wako dogo. Au ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja
Hayo ni miongoni mwa maovu ya ccm wanayoyafanya dhidi ya chadema. Sarakasi zote wanazofanyiwa chadema ni ccm ndio waratibu wa maovu. Kila baya mtalisema kwa namna yake. Na ndio siku zote nasema ccm bila ya hila ya vyombo vya dola na taasisi zingine uwezo wa kushindana na chadema hawana.Hakukuwa na sababu ya kuyazungumzia hayo. Mengine ni kukaa kimya tu hata kama unajua ukweli fulani ama jambo fulani inapaswa unakaa na jambo hilo kifuani pako mpaka siku unaingia kaburini