cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
umeanza kuconect dots..Protea Hotel,,sawa
ghafla bin vuuu kawa shujaaaDuuhh balaa shujaa nape ongea tu
Tunashukuru mkuu kwa msaada wako kwani ata kwenda huko ilikuwa ni hiari yako na hakuna aliyekupangia kwenda huko wala kuamua kutupasha mubashara.
Hata kuwafahamisha tu kuwa hatupendezwi na wachokifanya kwetu ni ushindi.mtashindana lakini hamtashinda
ndio Mlivyopanga?subiri Makonda aje kumtimua hapo
Wamemwaga ugali Nape akamwaga mboga......Nape toboa sufuria sasa.
pacha, tutashindana na tutahakikisha tunashindamtashindana lakini hamtashinda
nakuwataja wale wasiyousika mbona ujamaliziaKikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Nape :Jamani ZOEZI hili litaua brand za watu
Magufuli :hata akiwa mke wangu akamatwe tu
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
Makonda :na mimi ukitoa shimo nakugonga tu kichwa
Magufuli :makonda wewe chapa kazi
Nape :kazi hii ina gharama
Magufuli :MIMI NDIO RAIS LIA GARAGARA MIMI NDIO RAISI
NDEGE JOHN :UNGANISHA DOTS, ISHU SIO UHURU WA HABARI ISHU NI WAUZA NGADA KUBANWA VILIVYO
TANESCO :TUNAWAPA SIKU TANO MLIPE MADENI SUGU
WA PENDA UDAKU MATAPELI WAONGO :TWAFAAAA
WAZALENDO :HAPA KAZI TU
Huyo mfalme alikuwa nchi ya kusadikika?j.u.h.a