Saa 8 mkuu subirimkuu mbona kimya....
Saa 8 mkuu subirimkuu mbona kimya....
Ooooh, nilikuwa slow kidogo! Protea hotel, yeaaaaah, that's more like it!PROTEA hii hii ya Mbowe?!
Sidhani kama kibali kimetolewa hivyo polisi watazuia ngoja tusubiri tuone.Heshima Kwenu wakuu,
Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.
Karibuni.
=======
UPDATES
=========
Mkutano huo utaanza saa nane mchanamkuu mbona kimya....
Kabisa mkuu.Hata mafuta au nauli katumia yake, ubarikiwe sana mkuu
Mkuu toa hiyo avatar,tusitafutane ubaya,huwezi kuwa na avatar inayofanana na yanguWamemwaga ugali Nape akamwaga mboga......Nape toboa sufuria sasa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] leo amekuwa shujaaa??? Hebu tuache unafiki huyo nape ndio kaleta kero zote hizi na magoli yake ya mkonoDuuhh balaa shujaa nape ongea tu
ni saa nanemkuu mbona kimya....
RubbishKikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Nape :Jamani ZOEZI hili litaua brand za watu
Magufuli :hata akiwa mke wangu akamatwe tu
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
Makonda :na mimi ukitoa shimo nakugonga tu kichwa
Magufuli :makonda wewe chapa kazi
Nape :kazi hii ina gharama
Magufuli :MIMI NDIO RAIS LIA GARAGARA MIMI NDIO RAISI
NDEGE JOHN :UNGANISHA DOTS, ISHU SIO UHURU WA HABARI ISHU NI WAUZA NGADA KUBANWA VILIVYO
TANESCO :TUNAWAPA SIKU TANO MLIPE MADENI SUGU
WA PENDA UDAKU MATAPELI WAONGO :TWAFAAAA
WAZALENDO :HAPA KAZI TU
Makonda; nyie vijana wa Clouds nikisikia mmetoa siri hii ya Shilawadu wote nawaingiza kwenye orodha ya wauza madawa na kuwafunga miezi sita bila kupitia mahakamani ndio mtajua mimi ni nani.Kikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika