Ni lazima apige hesabu zake vyema,uamuzi huo una faida na hasara zake.Namshauri nape ajiuzuru ubunge na ajiondoe ccm...wakimwanga mbonga unamwaga ugali
Ni lazima apige hesabu zake vyema,uamuzi huo una faida na hasara zake.Namshauri nape ajiuzuru ubunge na ajiondoe ccm...wakimwanga mbonga unamwaga ugali
Mkuu hata mtu muoga kwa miaka 10 anaejulikana hivyo, Leo ukitokea moto ghorofani akajitosa kuokoa maisha ya mtoto atageuka kuwa shujaa. Ushujaa ni kile kitendo cha mwisho unachofanya na kuondoa historia yako ya nyuma iliyokuwa mbovuMzee wa bai la mkono leo hii ni shujaaa?? Kabla ya kucoment tukumbuke mabaya yake ya nyuma
Utawala huu ni cornerstone!Compared to Those 50 Years Lost in Darkness?
This is not too late
I think so!
Anaweza jitoa yeye lakini akili yake ikabaki huko hukoNape jitoe kwenye hilo lichama, liccm limevamiwa na wakoromije
Lefa aliliona ni la kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] leo amekuwa shujaaa??? Hebu tuache unafiki huyo nape ndio kaleta kero zote hizi na magoli yake ya mkono
tutashinda njaa tupacha, tutashindana na tutahakikisha tunashinda
Watanzania wengi hawakuelewa lengo la operesheni [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] lilikuwa ni kupinga mfumo wa udikteta kwenye nchi yetu nadhani kwa sasa wanaanza kuelewa vita hii kupinga udikteta inatakiwa kuunga mkono kwa kila mtanzania mwenye akili timamuSurely his hands were tied. Mtukufu aliongea mbele ya speaker butu kwamba ni yeye ndo aliamua kupiga marufuku live kwani wabunge wengi walikuwa wanaongea blah blah tu. Kwa management style ya Mtukufu sana, unadhani Nnape angeweza kumpinga kipindi kile?
tehe tehe tehe jamani vijimbavu vyangu mieeeeeeeeeendio Mlivyopanga?
Watu ni wanafiki sana....yaan mtu aliye sababisha hii hali kwa goli la mkono eti leo anaitwa shujaa.....ghafla bin vuuu kawa shujaaa
Hao ndio watanzania
hawafai wazeeeeNape ni shujaa wa kizazi chetu - ZZK
huyo jamaa haelewi na hana mpango wa kuelewaHata kuwafahamisha tu kuwa hatupendezwi na wachokifanya kwetu ni ushindi.