Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Kuna kila dalili ya SSM kushinda ubunge na uraisi kwa 100% 2020 huku wapinzani wakiteguliwa viuno kwa kujidai wanataka haki. Angalieni sana mtu aliyeanza kwa kusema anadhani urais ungekuwa miaka miwili, halafu kabla hata mwaka haujapita toka atoe kauli hiyo anabadilisha katiba ya chama chake ili asipingwe ndani ya chama. Ameshawatuliza ndani ya chama chake sasa nyie wa nje ya chama chake lazima muelewe la sivyo mtaelewa kwanini alitamani kuwa IGP. I see blood in 2020.

2025 ni mbali sana, lakini inabidi tuanze kuwa na hofu maana huyu mtu wetu ana kila dalili ya ukagame. Lazima tuanze kujiuliza kama kweli huyu bwana ataachia madaraka ya nchi au atabadilisha katiba ya nchi kama alivyobadilisha ile ya chama.
mkuu una maono hali ni mbaya.
 
Go Nape Go!

We will forgive your past if you ...

Welcome back to your senses


At Least it is NOT too Late!


You Can correct it this time.


100% of your salary owned, is now invested in your security!


What a waste?


Never give up though!
[emoji15] [emoji15] yaani unasema "not too late"wakati ndio kwanza mwaka wa pili
 
Hebu tujikumbushe na haka kawimbo japo UBETI mmoja tu kwa king'eng'e kutoka kwa Bob Marley:-

The truth is an offense but not a sin!
Is he who laugh last, children! is he who win
Is a foolish dog bark at a flying bird!
One sheep must learn, children! to respect the sheperd!

Kama ni relevance na NAPE'S SAGA sawa kama sio basi kaushia tuu...BUT Jah live...
 
Mzee wa bai la mkono leo hii ni shujaaa?? Kabla ya kucoment tukumbuke mabaya yake ya nyuma

Kwa imani yangu kuna mnyang'anyi alisamehewa pale fuvu la kichwa na mwana wa Mariamu alimuahidi kua nae kwenye ufalme wa baba ake hakika hata maisha ya sasa hakuna anaejali ulivyoanza ila jinsi gani umeamua kumaliza,Nape tunamkumbuka kwa kosa la bunge live ingawa mtukufu mwenyewe amekiri kua yalikua maagizo yake ila hatuwezi kumsahau kwa jinsi alivyomaliza siku yake pale wizarani.....Nape Moses Nnauye umesamehewa ndugu yangu.
 
7fa33132d7910a624ccf72ca29cff768.jpg
 
Nape sasa aende jimboni kwake Lindi Mtama Dar sio yake tena.. Hana tena sababu za kumfanya aishi Dar. CCM oyee...
 
Nikiyakumbuka matamshi ya nape wakati wa kampeni..................
 
.Nape was never a saint far from it Bunge Live fiasco comes to mind..!!

Surely his hands were tied. Mtukufu aliongea mbele ya speaker butu kwamba ni yeye ndo aliamua kupiga marufuku live kwani wabunge wengi walikuwa wanaongea blah blah tu. Kwa management style ya Mtukufu sana, unadhani Nnape angeweza kumpinga kipindi kile?
 
Back
Top Bottom