Kwani ana washauri?Na washauri wa Magufuli je ?
Atafumua mpaka bomba la kunawa mikono na kuvunja sahani na vikombeWamemwaga ugali Nape akamwaga mboga......Nape toboa sufuria sasa.
HahahahaLeo nape amekuwa shujaa? Kweli chadomo wazee wa kusubiria oil chafu nimewakubali
Acha kuwa mchanga wa siasa wewe!! Huyo Mzee unayemsema ametukanwa miaka mingapi na hao hao alionao hivi sasa?!Nape, ccm hakukaliki chadema hakuendeki, uliomtukana sana mzee wa watu.
Ulisasau, Ukiona mwenzako ananyolewa, wewe ........
Acha ubishi wewe,TV E wamerusha live hotuba yake mwanzo mwisho nimeona piaAcha uongo bhna. TVE hwajaanza kurusha matangazo ya mojakwa moja