Karibu Godbless Lema mpya. Nimekunukuu 'Hakuna dhambi kubwa duniani kama 'Uwoga' mwisho wa kunukuu.Pole kwa yaliyokukuta mbunge wangu.Ulijitahidi kwa uwezo na nguvu zako zote kupigania chama ili kuirudishia CCM pumzi ambayo Tayar ilishaanza kukata..Mh Nape ulikuwa hujuw kwamba hawa Mabwana hawana shukrani..Mh Bado wananchi tuna imani Kubwa na wewe na ndio maana tulikupa kura ukatetee wanyonge na ndicho unachokifanya acha. Karibu Mtama njoo tulijenge jimbo letu kuna changamoto nyingi tulizonazo..KARIBU NYUMBANI SHUJAA WETU..