mpasuajipu99
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 678
- 120
Njaa hutoa siri nyingi, yaani NJAA KALI
Kama ni vita basi hiyo itafananishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe .....Mapambano yanaendeleaWamemwaga ugali Nape akamwaga mboga......Nape toboa sufuria sasa.
Hujui kilicho mkuta brake mkuuNamshauri nape ajiuzuru ubunge na ajiondoe ccm...wakimwanga mbonga unamwaga ugali
Ukweli mtupuNjaa hutoa siri nyingi, yaani NJAA KALI
Hii Kauli Imeniumiza Sana Japo Siyo KadaKalala porini miezi 28 nyie mnakunywa bia tu halafu mlete za kuleta pumbavu
Aachane nayo. Naye sasa ni oil chafu, ni kapi. Nape ulitunanga sana sasa ni zamu yako nawe kuitwa oil chafu na kapi(lililokubuhu). Dunia duara ndugu . usifikiri akina Lowasa na Sumaye kuwepo upinzani ni jambo dogo, wewe ni msingi wake, nenda kaungane nao, ili uwajue vizuri akina Magi.Hii kauli itamgharimu sana!
Hiyo assignment yako kwa leo. Mchana mwema.Kwani kosa lake ni lipi?
Nihadithienimependa alivyoongea
Anakumbushia ziara waliyoifanya na Kinana kwa miaka almost miwili, kuhuisha chama. Umesahau mara hii?CCM ni chama cha wanachama siyo chama cha Mwanachama,
=====
hivi mwezi 18 alikuwa porini kweli, yaani hata kagoma mjini ni porini yaani hata jimboni la mtama ni porini!?
Lakini ndo ukweli huo aliousema.Hii kauli itamgharimu sana!
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Karibu Nape mitaani tushiriki pamoja machungu tunayoyapata,maana yake wananchi tukisema tuko katika hali mbaya mulikuwa hamutuelewe,akina Lissu wakisema mnasema hao ni wapinzani kazi yao ni kuropoka.
Kwa kuwa yamekufika ndipo utakapoelewa ni kitu gani wananchi na Lissu walichokuwa wanamaanisha kuhusu boss wako,na bila shaka utakuwa kiongozi bora zaidi kuliko ambavyo ulivyokuwa kwenye nafasi uliyovuliwa.
Hovyo saaana, Nape kasema yeye kapanda mbegu, akimaanisha lolote likitokea ili watoto wapate cha kurithi. Kizazi hiki kinapaswa kuweka uoga pembeni, kizazi hiki kinapaswa kupambana.Hii nchi haiwezi kuondoa umaskini katika kizazi chetu kwa sababu ya uoga. Unaogopa gharama, kisa njaa na umaskini duh kazi kweli kweli