Mkuu hawata elewa watz wengi WaPo Bob go music.Hebu tujikumbushe na haka kawimbo japo UBETI mmoja tu kwa king'eng'e kutoka kwa Bob Marley:-
The truth is an offense but not a sin!
Is he who laugh last, children! is he who win
Is a foolish dog bark at a flying bird!
One sheep must learn, children! to respect the sheperd!
Kama ni relevance na NAPE'S SAGA sawa kama sio basi kaushia tuu...BUT Jah live...
Wasalaam wana jamvi.
Wengi hasa UKAWA walivyosikia Nape ataongea leo walijua wanapokea mwanachama mpya au anakwenda kuropoka wanayopenda kuyasikia.
Lakini Kibaya zaidi Nape amewakatisha tamaa maana waliokuwa wanamsikiliza walitamani kusikia akisema sasa basi naachia ubunge.....
Leo ndio nimegundua waandishi walio wengi wana ushabiki wa vyama kabisa kabisa maana walikuwa wanashangilia huku wakisema semaa baba semaa...hahaha lakini alichokisema Nape kimewavunja moyo waandishi na UKAWA.
Hongera rafiki Nape umetimiza wajibu wako sasa ni zamu ya mwenzio.
kabisa ila anajua kuongeaooh God nape anaongea kwa hasira
Ndugu yangu mtu akifanya la maana lazima asifiwe akitibua alaaniwe, usiwe kama umenyweshwa dawa ya mapenzi na Magufuli. Nape atasifiwa na wote wanaojua haki za raia kasoro CCM wenye akili kama Makonda na Magufuli.hahahhaa chadema hawaishi vituko eti leo nape ni shujaa hahhahahha bora kaenda msaliti huyu......
Ahahaha MUSSA ALLAN Upo MKUU..Kama Waziri, anashikiwa bastola, vipi mimi mwananchi wa kawaida huku Simanjiro?
Yanachosha kweli kweli na kuumiza kichwa. Yaani kuliko niende kwa mganga wa kienyeji ili wageuzwe inzi wacha tu nimgeukie Mungu kwa maombi na salaMERCIFUL, ya nchi hii yanachosha! sasa ukiangalia viongozi wetu wa dini wenyewe hawajatulia ni shida tu kwa kweli, wanayakoroga wayanywe
Mapato ya serikali yamepungua...mmekimbilia kisingizio cha madawa ya kulevya...mnawabambikia watu kesi za madawa ya kulevya ili wawaonge pesa mle na mademu zenu na mahawara...uongozi wa kinafiki sana....Tumeshapata ujumbe kutoka kwa rais Magufuli kuwa adui yake namba moja ni vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Baada ya kuishi kwa kufuata matukio zaidi ya mwezi sasa tangu Makonda aanike hadharani majina ya wauzaji wasafirishaji na watumiaji wa dawa za kulevya sasa tuseme basi. IMETOSHA. TURUDI KWENYE HOJA YA MSINGI YA MAPAMBANO DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA.
WENYE USHAHIDI WA VYETI VYA BASHITE TUKUTANE MAHAKAMANI.
WENYE USHAHIDI WA UVAMIZI WA MAKONDA CLOUDS TUKUTANE POLISI.
NAREJEA TENA. TURUDI KATIKA HOJA YA MSINGI ILOYOTUFIKISHA HAPA YA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA.