Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
Kwani amesema anaenda kusema nini?? Au unafikiri kamaanisha nini akisema WANASAMBAZA?Wanaogopa atatangaza kuhamia chadema
Kazi kafanye kwa mshua wako sio hapo nyuma ya tecnoAsante sana kwa habari ya ukweli.
MH. MAGUFULI NI CHAGUO LA MUNGU
=======
UPDATES;
=======
13:08hrs:
Ametokea mtu anayeitwa Iddi Suleiman ambae ni meneja wa Protea na kudai mkutano hautakuwepo na waandishi walipombana nani kazuia, alisema akaulizwe RPC wa Kinondoni.
View attachment 485512
Safi sana! kama italeta vurugu ya nchi kwa nini aongee. Aende kwenye Jimbo lake huko akaliendeleze!Dikteta ameipiga marufuku isifanyike
veHeshima Kwenu wakuu,
Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.
Karibuni.
=======
UPDATES;
=======
13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.
Ametokea mtu anayeitwa Iddi Suleiman ambae ni meneja wa Protea na kudai mkutano hautakuwepo na waandishi walipombana nani kazuia, alisema akaulizwe RPC wa Kinondoni.
View attachment 485512
Ni mafia wamekamata mpini wengine tumeshikilia makali.hivi alivyounda kamati na ikachukua muda mfupi sana kitu ambacho ni ajabu kwa tz kwa kiwango hicho cha ufanisi..!! ilikua ni dhamira hasa kiutendaji au issue ya makonda ilikua rungu muafaka kummalizia mwenyewe katika vita vyao vinavyoendelea tokea issue ya wema na madawa ? najaribu kuwasoma fikra zao.....!!
Nape ni shujaa wa kizazi chetu - ZZK
washamtibua kwa kumtolea bastola....Wanakanyaganajee?! Sema ndo viroba hamna tena dah!
Kweli ?kinahappen right now tune in tv E au nenda insta live kwa millard ayo....