Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Sasa tushike lipi? mara ametekwa, mara anasema anaelekea hotelini, mara arapisiii sijui kasemaje!!!!
 
Walisema saa nane press inaanza, sasa hv ni saa nane press bado. Au labda saa nane ni huku kwetu tu kwingine bado ni asubuh
 
Wemeshamdaka huyo!


Afu nahisi wamehack accout yake ya tweeter
 
Naskiliza clauds hapa wanasema kamanda wa kanda maalum kazuia tukio hilo
 
Wanajamvi na wapenda maendeleo ya nchi yetu.
Hii press conference ya mheshimiwa Nape nauye itaoneshwa TV gani? Na ham saana nione hii kitu.
 
Nasikiliza kwenye Radio usalama wanamzuia asishuke kwenye gari na Nape amegoma kurudi kwenye gari
 
Ni kweli Wakuu.. hakuna press conference tena.. naona serikali imeanza kumsomesha namba Nape.. Pole sana Nape, wenzako tulishayazoea haya.
 
NI aibu kuwa na rais ambae anazuia hadi press conference!! Wale mbwa wanaosemaa kwamba JPM ni jasiri; sasa kama ni jasiri anaogopa vp hata press conference!! Huyu mtu hafai hata kidogo na lazima uwe mgonjwa wa akili ndipo unaweza kumuunga mkono!!
 
kinahappen right now tune in tv E au nenda insta live kwa millard ayo....
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hawa polisi ndio walio baki kumlinda mkuu. Sitashangaa wakiambiwa wazuie na bunge mwezi ujao.
 
Kuvunja ni kumjenga Nape zaidi kama kuliwa hakuna sababu yoyote muhimu ya kufanya hivyo.

Watu hawaja jifunza kwenye ule uchaguzi wa TLS?
 
Back
Top Bottom