Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
Hata mimi sijamwelewa
Sasa heading inasemaje, na umeweka content gani??
Sasa heading inasemaje, na umeweka content gani??
Wewe huwa hufatilii matamko ya raisi, alishawahi ku reveal kuwa yy ndiye aliyekataza bunge live....Nape was never a saint far from it Bunge Live fiasco comes to mind, but when you go out swinging thats how we will always remember you!!
Yameshavunjwa mahojiano na RPC.Tv ipi inaonyesha jaman
Asante sana kwa habari ya ukweli.Kikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Nape :Jamani ZOEZI hili litaua brand za watu
Magufuli :hata akiwa mke wangu akamatwe tu
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
Makonda :na mimi ukitoa shimo nakugonga tu kichwa
Magufuli :makonda wewe chapa kazi
Nape :kazi hii ina gharama
Magufuli :MIMI NDIO RAIS LIA GARAGARA MIMI NDIO RAISI
NDEGE JOHN :UNGANISHA DOTS, ISHU SIO UHURU WA HABARI ISHU NI WAUZA NGADA KUBANWA VILIVYO
TANESCO :TUNAWAPA SIKU TANO MLIPE MADENI SUGU
WA PENDA UDAKU MATAPELI WAONGO :TWAFAAAA
WAZALENDO :HAPA KAZI TU