Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Weka ushahidi.....SINDANO LAZIMA ZIMWINGIE MAGUFULI MPAKA AACHE KIBURI
 
Chanzo clouds media kupitia twitter
2424d4272eae9d0bbb0ef54b2dd48b32.jpg
Wanaogopa atatangaza kuhamia chadema
 
Jamani acheni mihemko.... ametweet kasema ametokea airport alikua arusha, sasa anaelekea protea.. mtulie
 
Nape gemu lake lilishanaswa

Akajisahau zaidi aliposifiwa Mtwara na Mh. Rais

Kumbe anaangaliwa, hivyo akajiona hawezwi kumbe mmmmh

Jumatatu akatoka pangoni mwenyewe, kuchagua wahariri kwa tume mmmmh, na wanamwandika Mh. Makonda ovyoooo mmmmh, ripoti ilijaa uongo eti aliwakimbia ha ha haaaa kumbe hata hawakumtafuta ni mengi. Kubwa aliamua kumuhukumu Mh. Makonda Jumatatu, tume aliichagua Jumapili

Tabu gemu hamfanyi kwa akili, kama mnavyomsingizia Makonda kila kitu

Ha ha haaaa

JPM kiboko, tutamzoea tuchape kazi tuache udaku

JPM oyeeeee
Makonda oyeeeee

Hivi kweli hiyo ripoti haijaandikwa na mama nanii, yule aliyemrekodi Stive?
 
Back
Top Bottom