Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Hivi hizi story za kwamba Nape kakamatwa zinazosambaa kwenye WhatsApp zina ukweli gani!?
 
Kuna polisi wa kutosha hapa Protea kama vile nchi inataka kipinduliwa sa sijui mini tatizo. Cha kusikitisha Umeme umekatwa Dar mpaka baada ya press conference ya Nape
itakua sio dar yote mbona kwetu upo
 
Magufuli anaweza kumfukuza chama kama hataangalia.

Kwa sasa alitakiwa atulie kwanza na kutafakari. Hii awamu haihitaji independent thinkers bali ni mwendo wa kufanya kazi kwa kufuata maelekezo. Alichokosea Nape ni yeye kuact bila kuomba maelekezo au baraka kutoka juu.


mkuu ..dont be a coward

Vijana mkoje siku hizi
 
Ningelikuwa Mimi ningelikaa kimya na kurudi jimboni kwangu kushirikiana na wananchi katika kutatua kero.
Katika vitu ambavyo mkuu hapendi ni pamoja na hizi press conference.
Nina hakika press conference hii itamuharibia tashwira aliyoitengeneza ndani ya mfumo.
Kama ni kushukuru ni vyema angelienda kushukuru kwa wapiga kura wake jimboni au kupitia kwa Katibu wa Chama chake.

Kwa hiyo kama "Mkuu" hapendi press conferences watu wasifanye..? Kwani yeye ni Mungu..? Acheni watu wazungumze.. Aseme kile anachotaka kusema.. Mnaleta udikteta kila sehemu..
 
df2c44e939318367dc3612b5c8d39506.jpg
nape safari za ndege kwa hisani ya serikali utazisikia tu redioni
 
Akihamia chadema atakuwa amefanya jambo la maana sana, baada ya muda mfupi atazoea mabomu ya machozi
 
mkuu ..dont be a coward

Vijana mkoje siku hizi
We umekuwaje hadi kutumia id feki wakati ruksa kutumia real names?? Acha ulofa..ndio nyie kwenye keyboard mnaongea tukisema twendeni uwanjani mnabaki kuchungulia madirishani tu.
 
Who told you?

For three or four weeks Mosses had been steeling himself against this moment. And when he walked into the dock that morning he thought he was fully prepared. He wore a smart palm-beach suit and appeared unruffled and indifferent. The proceeding seemed to be of little interest to him. Except for one brief moment at the very beginning when one of the member had got into trouble with the judge.

Every available space in the court-room was taken up. There were almost as many people standing as sitting. The case had been the talk of Town for a number of days and weeks and on this last day anyone who could possibly leave his job was there to hear the judgment. Some Civil Servants paid as much as ten thousand shillings to obtain a doctor's sick sheet of illness for the day.

Moses’s listlessness did not show any signs of decreasing even when the judge began to sum up. It was only when he said: 'I cannot comprehend how a young man of your education and brilliant promise could have done this' that a sudden and marked change occurred. It is a thing of shame for a man in the senior service to go to political prison for disrespect. He repeated disrespect, spitting it out. 'I am against people reaping where they have not sown. But we have a saying that if you want to eat a toad you should look for a fat and juicy one.' Treacherous tears came into Moses’s eyes. He brought out a white handkerchief and rubbed his face. But he did it as people do when they wipe sweat. He even tried to smile and belie the tears. A smile would have been quite logical. The promise of betrayal had not taken him unaware. He had expected it and rehearsed this very scene a hundred times until it had become as familiar as a friend.

In recent days, Mosses met several times with the members of Stories Association of Antazia (SAA) over David's case for trespassing to the Sky MF radio. Few weeks ago, there was live battle between David who is CR of the city of Was-sa Laam and Bishop John Joseph of the church of Life after Life about all the stuff of his education and disrespect. At the first meeting, a handful of people had expressed the view that there was no reason why should worry itself over the troubles of a prodigal son who had shown great disrespect to it only a little while ago.

But this morning the case of Mosses was lost. Many people had already arrived at the Moses’s house were talking excitedly about the judgement and shout loudly “his is a man of the people”.

'I knew it was a bad case,' said one man. 'We are just throwing money away. What do our people say? He that fights for a truth has nothing to show for it except a head covered in earth and grime.'

“But this man had no following,” the men of Antazia were prepared to fight to the last. They had no illusions about David. He was, without doubt, a very foolish and self- willed young man. But this was not the time to go into that. The fox must be chased away first; after that the hen might be warned against wandering into the bush.
 
Hivi Nape ana msemaji wake?
Kama amepata matatizo aseme na aharishe au avunje mkutano badala ya kuwachomesha watu mahindi!
 
Back
Top Bottom