Du du Duu uwiiiiiiiiii. Niko hoiiiiiii Zitto CUF nk nk wote Leo wako upande wa jirani yetu Wakati anateuliwa hawakuombwa Ushauri na kikubwa waliponda eti hana vigezo ila zawadi ya kampeni. Leo aliyetua ameamua kutengua mnaadamana kwa kelele za utetezi na ushujaa. It's the highest level of unafiki. Unafiki ikiwa na maana ya kuwadharau wtz kwamba Hawana kumbukumbu .acha na na hawa shule ya msingi wa humu wengi ambao kwao anayetukana mwalimu ndio shujaa. Unapojitambua ,unajua Nini unataka na namna gani utakipata. Sasa kila adui anayepinga adui ni rafiki. Niko hoiiiiiii. Mteua anapotengua Hujui sababu ila unaconnect ideas kadiri vinavyokusuit wewe.,..siasa tamuuuuuuu sana. Lakini mwenye akili Timamu ataendelea KUJITAMBUA .know yourself and what you stand for.